maelezo
-
Rubani wa Marekani Adai Kuona “Ndege zisizo na Rubani za Umbo la Jellyfish” Katika Anga ya Iran
Rubani wa ndege ya kivita aina ya F-15 ya Marekani amedai kuwa aliona kundi la ndege zisizo na rubani za Iran zikisafiri kwa mpangilio maalumu unaofanana na umbo la “jellyfish”, madai ambayo yamezua mjadala katika duru za kiintelijensia za Marekani kuhusu uwezo wa teknolojia ya droni za Iran.
-
Majlisi ya kuhuisha kumbukumbu ya Imam Hussein (a.s) katika Shule ya Wasichana ya Bibi Zaynab (s.a) – Kigamboni, Dar es Salaam
Katika shule ya wasichana ya Shule ya Bibi Zaynab (sa) kumefanyika hafla ya kuhuisha kumbukumbu ya Imam Hussein (a.s) kwa lengo la kuimarisha utamaduni wa Ashura na kuelimisha nafasi ya mwanamke katika Uislamu.
-
Iran Yatangaza Rasmi Kufikiwa kwa Rasimu ya Mwisho ya Makubaliano na Marekani; Ijumaa Kutia Saini
Iran imetangaza rasmi kwa mara ya kwanza kufikiwa kwa rasimu ya mwisho ya makubaliano na Marekani, huku Ijumaa ikitajwa kuwa siku ya kutiwa saini; wakati huo huo, wachambuzi wanaeleza kuwa usitishaji wa mapigano nchini Lebanon, endapo Israel itautekeleza, ni matokeo ya msimamo wa Iran wa kujumuisha suala la Lebanon katika makubaliano hayo na ustahimilivu wa Muqawama katika medani ya mapambano.
-
Iran na Belarus zaonyesha utayari wa kuimarisha ushirikiano katika sekta ya usafirishaji na nishati
Katika maelezo ya maafisa husika, pande zote mbili zimetaja umuhimu wa kuimarisha mahusiano katika sekta muhimu za uwekezaji na usafirishaji.
-
utolewa Kazi kwa Mwalimu Muislamu Ubelgiji Kwa Sababu ya “Ufundishaji wa Kifundamentalisti”
Mwalimu mmoja Muislamu nchini Ubelgiji ameondolewa kazini kutokana na kile ambacho mamlaka yalichoona kama ishara za ufundishaji wa kifundamentalisti.
-
"Sifa Sita za Muumini Zinazomhakikishia Pepo"
Maelezo yafuatayo yanaeleza matendo au sifa sita ambazo kuyatekeleza kunaweza kusababisha wokovu na kuingia peponi. Mambo haya sita ni nguzo za msingi za maisha ya kiimani na yenye kujitolea. Maandiko haya yanalenga, kwa kuyataja mambo haya, kutoa njia iliyo wazi kuelekea kwenye furaha ya Akhera.