Wasiwasi wa kiusalama nchini Iraq kuhusu shughuli za ISIS mpakani na Syria umeongezeka, licha ya hatua kali za kiusalama, huku kukiwa na maonyo ya kiintelijensia na ongezeko la tahadhari.
Harakati ya Jihad Islami Yajibu Jinai za Utawala wa Kizayuni kwa Kulenga Miji ya Ashdod na Ashkelon
Harakati ya Jihad Islami imejibu uhalifu wa utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kulenga kwa makombora miji ya Ashdod na Ashkelon.
Kufuatia mashambulizi hayo, king’ora cha tahadhari kilisikika mjini Ashkelon, huku vyombo vya habari vya Israeli vikieleza kuwa kombora moja limenaswa angani juu ya jiji hilo.