“Mohammed Nasser al-Atifi,” Waziri wa Ulinzi wa Serikali ya Sana’a, akitoa pole kwa viongozi wakuu wa nchi kufuatia kuuawa kwa Mkuu wa Majeshi, alisisitiza kuwa: Tuko tayari kikamilifu katika nyanja zote za kijeshi kukabiliana na shambulio au uvamizi wowote unaoweza kutokea.
Rais wa Venezuela, huku akilaani shambulio la utawala wa Kizayuni dhidi ya Qatar, ametangaza kuwa wananchi wa nchi hiyo wako tayari kwa vita dhidi ya wavamizi wa Marekani.