wahitimu
-
Mkuu wa Jamiat Al-Mustafa (s) Tanzania Awahimiza Wahitimu wa Hazrat Zainab (s) Kuendelea na Masomo ya Juu na Kutumikia Jamii
Mkuu wa Jamiat Al-Mustafa (s) nchini Tanzania, Dkt. Ali Taqavi, katika hafla ya mahafali ya wahitimu 31 wa Madrasa ya Hawza ya Hazrat Zaynab (s) iliyofanyika Kigamboni, Dar es Salaam, amewahimiza mabinti hao kuendelea na masomo ya juu, kuimarisha elimu ya dini na kutekeleza wajibu wao wa kielimu, kitamaduni na tablighi katika jamii, huku akieleza mafanikio ya kufundisha elimu ya Hawza kwa lugha ya Kiingereza, maendeleo ya wahitimu na dira ya kuanzishwa kwa Hikmah University of East Africa.
-
Balozi wa Iran nchini Tanzania: Imani, Hikima na Elimu ni misingi muhimu ya ukamilifu wa mwanadamu
Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Tanzania, Muhammad Jawad Hemmat-Panah, amesisitiza umuhimu wa kuambatana kwa imani, hikima na elimu katika kufikia ukamilifu wa mwanadamu, akitoa wito kwa wahitimu 31 wa Madrasa ya Hawza ya Hazrat Zaynab (s), Kigamboni, kuendelea na safari ya elimu, kuimarisha imani na kutumia maarifa yao kwa manufaa ya familia na jamii.
-
Maulana Sheikh Hemed Jalala Awavisha Vilemba Wanafunzi Waliohitimu Masomo ya Miaka Mitano katika Hawzat al-Qaaim (atfs), Jijini Tanga
Zoezi la uvalishaji vilemba limeambatana na nasaha za Sheikh Hemed Jalala kwa wahitimu kuhusu wajibu wao wa kuitumikia dini, kuelimisha jamii na kuzingatia maadili ya Kiislamu baada ya kukamilisha masomo yao ya Hawza.