16 Aprili 2025 - 16:17
Programu ya Qur'an Tukufu Iran | Hakika Qur'an ni Nuru na Mwongozo kwa Waumini + Video

Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a s) - ABNA - Hawa ni baadhi ya wageni wa programu ya Qur'an Tukufu. Klipu nzuri kama hii hutayarishwa na timu ya media katika programu hii za Qur'an zinazofanyika Nchini Iran kwa ajili ya wasikilizaji na wapenzi wa Qur'an Tukufu popote walipo Duniani kupita Mitandao mbalimbali ya kijamii. Hakika Qur'an ni Nuru na Mwongozo kwa Waumini.

Programu ya Qur'an Tukufu Iran | Hakika Qur'an ni Nuru na Mwongozo kwa Waumini + Video

Your Comment

You are replying to: .
captcha