17 Juni 2025 - 20:39
Meja Jenerali Mousawi,Mkuu wa Vikosi vya Kijeshi vya Iran: "Mpaka sasa Operesheni yetu ni ya kutoa onyo tu, Saa zijazo ni Operesheni ya adhabu" +Video

Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA-: Meja Jenerali Mousavi, Mkuu wa Vikosi vya Jeshi la Iran: "Operesheni zilizotekelezwa hadi sasa zimekuwa onyo la kuzuia tu, na operesheni za adhabu zitatekelezwa hivi karibuni katika Saa zijazo". "Tahadhari kwa wakazi wa Tel Aviv, Ili kuokoa Nafsi zenu, tokeni katika Mji wa Haifa na Tel-Aviv, na maeneo yote Karibu na Mji huo. Tutalipiza Kisasi Kwa Damu za Mashahidi wetu Insha'Allah".

Your Comment

You are replying to: .
captcha