









Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Leo Ijumaa (20-06-2025) umti mkubwa wa Watu - Wanawake, Watoto kwa Wazee - Wajitokeza kwa wingi Jijini Tehran katika Sala ya Ijumaa na Maandamano ya Ijumaa ya Ghadhabu na Ushindi dhidi ya Utawala Ghasibu wa Israel.
Your Comment