ABNA swahili
  • HABARI KAMILI
  • HABARI MUHIMU
  • Iran
  • ASIA
  • ULAYA
  • AMERIKA
  • AFRIKA
  • PICHA
  • MAKALA
العربية English فارسی Türkçe اردو Español bahasa Indonesia हिन्दी français 汉语 русский Deutsch Melayu Hausa বাংলা Азәрбајҹан Азәрбајҹан әлифбасы Kiswahili မြန်မာဘာသာ bosanski português سورانی 日本語 Kurmancî Pilipinas Тоҷик italiano 한국어
×
filterToday News
  • Televisheni yenye kufuata mrengo wa Kizayuni "Iran International" imeanguka, na sasa BBC imechukua nafasi yake

    Televisheni yenye kufuata mrengo wa Kizayuni "Iran International" imeanguka, na sasa BBC imechukua nafasi yake

    Katika dunia ya sasa, ni vigumu kujua ukweli kamili kwa urahisi, hivyo ni muhimu kuwa na vyombo vya habari vya kuaminika vinavyotumia vyanzo vya haki na kuthibitisha taarifa kabla ya kuzisambaza. Hivyo ndio Vyombo vya kufuatilia na kusikiliza. Na sio kufuata kila chombo cha Habari bila kujua kuwa hiki chombo kinatumiwa na waovu wa uistikbari wa Dunia au la.

    2025-06-27 17:09
  • Sala ya Ijumaa, Jamiat Al-Mustafa (s)- Dar-es-salaam, Tanzania |  "Jinsi ya kuishi Katika Mwezi wa Muharram Kulingana na Matukio Muhimu ya Mwezi huu"

    Sala ya Ijumaa, Jamiat Al-Mustafa (s)- Dar-es-salaam, Tanzania | "Jinsi ya kuishi Katika Mwezi wa Muharram Kulingana na Matukio Muhimu ya Mwezi huu"

    Mada hii kwa hakika ni yenye umuhimu mkubwa kwani inawasaidia Waislamu kufahamu jinsi ya kuishi kwa kuzingatia mafunzo ya A'shura, kama vile: Ustahamilivu, kuinusuru haki, na kupigania ukweli na uadilifu hata kama ni kwa gharama ya kuyatoa muhanga maisha yako kwa ajili ya Uislamu.

    2025-06-27 16:35
  • Majlisi ya Muharram - Madrasat Hazrat Zaynab (SA): "Muslim bin Aqil (RA) na mchango wake muhimu katika historia ya Uislamu" + Picha

    Majlisi ya Muharram - Madrasat Hazrat Zaynab (SA): "Muslim bin Aqil (RA) na mchango wake muhimu katika historia ya Uislamu" + Picha

    Majlisi hii imeandaliwa na kuratibiwa na Madrasat ya Mabinti ya Hazrat Zainab (sa) iliyopo Kigamboni, Jijini Dar-es-salaam. Hii inaonyesha umuhimu wa pekee wa Wanawake wa Kiislamu katika kuandaa na kushiriki kwenye shughuli za kidini na kitamaduni.

    2025-06-27 15:21
  • Majlis ya Muharram - Jamiat Al-Mustafa - Dar-es-salaam | Mada ya Leo: "Umuhimu wa Muslim bin Aqil (RA) na tukio la kihistoria la Karbala" + Picha

    Majlis ya Muharram - Jamiat Al-Mustafa - Dar-es-salaam | Mada ya Leo: "Umuhimu wa Muslim bin Aqil (RA) na tukio la kihistoria la Karbala" + Picha

    Khatibu, Sheikh Khalfan Katundu, katika Khutba yake ametanabahisha kuwa matukio kama vile tukio la "Muslim bin Aqil (RA)" yana umuhimu mkubwa kwa jamii zote za Kiislamu. Kwa mfano, vijana wa Kiislamu nchini Tanzania wanaweza kuelimishwa kuhusu thamani ya ushujaa, utoaji sadaka na kujitolea kijamii na kidini, na kuwa na Mapenzi makubwa kwa Haki na Uadilifu kupitia Hadithi na Hikaya za Matukio mbalimbali ya Karbala.

    2025-06-27 14:37
  • Uongo wa Trump kuhusu kushambulia vinu vya Nyuklia vya Iran ni Mbinu za Propaganda. Zijue mbinu hizo na jinsi zinavyotumika, hasa katika siasa

    Uongo wa Trump kuhusu kushambulia vinu vya Nyuklia vya Iran ni Mbinu za Propaganda. Zijue mbinu hizo na jinsi zinavyotumika, hasa katika siasa

    Kutumia hofu au hisia kali Kujenga hofu, hasira, au mshangao kwa ujumbe fulani kunasaidia kuimarisha ujumbe na kuufanya uonekane wa dharura au muhimu.

    2025-06-27 13:38
  • CNN: "Kwa nini TRUMP analazimisha Dunia iamini kuwa aliharibu vituo vya Nyuklia vya Iran?! Kuna Lengo lipi nyuma ya Uongo wake?!"

    CNN: "Kwa nini TRUMP analazimisha Dunia iamini kuwa aliharibu vituo vya Nyuklia vya Iran?! Kuna Lengo lipi nyuma ya Uongo wake?!"

    Uongo wa Trump ni Taktiki inayojulikana kama: "uongo ukirudiwa mara nyingi huanza kuaminika," ambayo inakusudia kuathiri mtazamo wa umma na hata maamuzi ya kimataifa.

    2025-06-27 13:07
  • Majlisi ya Kwanza ya Muharram - Husseiniyyah ya Imam Mahdi (as) + Picha

    Majlisi ya Kwanza ya Muharram - Husseiniyyah ya Imam Mahdi (as) + Picha

    Shirika la Habari la Ahlul-Bayt (as) - Majlisi za Muharram katika kuomboleza Kifo cha Kishahidi cha Imam Hussein (as) zimeanza Leo Nchini Tanzania. Moja ya Husseiniyyah zilizohuisha Siku ya Kwanza ya Muharram ni Husseiniyyah ya Imam Mahdi (as) Tabora - Tanzania.

    2025-06-27 00:01
Shirika la Habari la Ahlul-Bayt (a.s); Abna Sauti ya Mashia wasio na Vyombo vya Habari.
Desktop version Mobile version

Nukuu ya "Maudhui" inaruhusiwa bila kutaja chanzo

Nastooh Saba Newsroom