Al Jazeera
-
-
Pezeshkian: Madai ya Trump kuhusu kukomesha mpango wa Nyuklia wa Iran ni Udanganyifu
Katika mahojiano na gazeti la Al-Jazeera, Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sambamba na kusisitiza utayarifu wake wa kukabiliana na utawala wa Kizayuni, aliyataja mazungumzo ya kuhitimisha mpango wa nyuklia wa Iran kuwa ni ndoto na njozi. Aidha, alisema: Hatutaki Vita, lakini Tuko Tayari Kujilinda kwa Nguvu Zetu Zote.
-
Jerry, Mwendesha kipindi wa Al Jazeera: "Ikiwa uchokozi wa Marekani haungejibiwa na Iran, Marekani ingeenda mbele zaidi na kuingilia vita"
Ujasiri huu wa Iran ulikuwa wa kuzuia hamu ya Marekani ya kutaka kuingilia kati vita vya israel dhidi ya Iran - ili kuisaidia na kuiokoa Israel (iliyokuwa imelemewa na vita).
-
Harakati ya Hamas Imekanusha Kusimamishwa kwa Mazungumzo
Harakati ya Hamas imesema kuwa ripoti ya vyombo vya habari vya Kiebrania kuhusu kusitisha mawasiliano au kusitishwa kwa mazungumzo ya kusitisha mapigano si ya kweli.