Aya
-
Jalada la uchambuzi wa Wilayat: Jinsi gani tunaweza kupata misingi ya Wilayat al-Faqih kupitia Aya za Qur’an Tukufu?
Uchambuzi wa hoja za Qur’ani zinazothibitisha Wilayat al-Faqih unaonyesha kuwa Qur’ani Tukufu, pamoja na kufafanua umuhimu wa kuwepo kwa serikali, pia imeweka vigezo vya kumtambua mtawala mwema na kumtofautisha na mtawala dhalimu. Katika muktadha huu, Aya zinazozungumzia mamlaka ya Mitume, Wilayat ya Mtume wa Uislamu Muhammad (saww), na ulazima wa kuwatii wenye mamlaka (Ulul-Amr), zinahesabiwa kuwa miongoni mwa misingi muhimu ya kufafanua utawala wa kidini.
-
Siri ya Nafasi ya Kipekee ya Hazrat Fatima Zahra (SA) katika Qur’ani na Hadithi ni Ipi?
Kuanzia Aya ya Utakasifu, Aya ya Mubahala hadi Aya ya Upendo kwa Ahlul-Bayt (as), Qur’ani Tukufu na mafundisho ya Mtume Muhammad (saww) yanaonesha nafasi ya juu ya Hazrat Fatima Zahra (SA), ambaye anatambulishwa kuwa ni miongoni mwa vielelezo vikuu vya utakatifu, ukaribu na Mwenyezi Mungu na hoja yake kwa viumbe.
-
Barua Moja, Miaka Elfu ya Kusubiri; “Kinachotuzuia, Ni Sisi Wenyewe…”
Tawqīi ( Ujumbe au Barua yenye muhuri) ya Imamu wa Zama (aj) kwa Sheikh Mufid inaeleza kuwa kizuizi cha kudhihiri kwake si “adui,” bali ni “matendo maovu ya Mashia wenyewe.” Kwa mujibu wa Aya ya 11 ya Suratul-Ra‘d, kubadilika kwa hatima ya jamii yoyote kunategemea mabadiliko ya ndani yanayofanywa na watu wa jamii hiyo wenyewe. Hivyo, “umoja wa nyoyo” na “kutimiza ahadi” ni miongoni mwa mabadiliko hayo yanayoweza kuharakisha kudhihiri. Kiongozi wa Mapinduzi pia anasisitiza kwamba kungojea kwa kweli ni “kuandaa mazingira”, si kukaa tu na kulia. Kwa hiyo, kuondoa kizuizi cha kudhihiri kwa Imamu kunategemea juhudi zetu wenyewe.
-
IRGC: Ndege tatu za F-35 za Marekani zaangamizwa, nyingine tatu ziharibiwa katika kituo cha Al-Azraq nchini Jordan
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) limetangaza kuwa limefanya shambulizi la makombora dhidi ya Kituo cha Anga cha Al-Azraq nchini Jordan, likidai kuangamiza ndege tatu za kivita aina ya F-35 na kuharibu vibaya nyingine tatu, katika kile ilichokitaja kuwa ni kulipiza kisasi dhidi ya mashambulizi ya Marekani yaliyolenga nyumba za raia katika Kisiwa cha Qeshm.