Barua
-
Barua ya Iran, Urusi na China kwa Grossi: Wajibu wa Kuripoti wa IAEA Umefikia Mwisho
Wawakilishi wa kudumu wa Iran, Urusi na China katika Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) wamemwandikia barua rasmi Rafael Grossi, Mkurugenzi Mkuu wa wakala huo, wakisisitiza kuwa kwa kumalizika kwa muda wa utekelezaji wa Azimio la 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, jukumu la IAEA la kuwasilisha ripoti chini ya azimio hilo limefikia mwisho, na kwamba hatua yoyote mpya katika mwelekeo huo haina uhalali wa kisheria.
-
Je, Kuandika Maombi (Barua ya Mkono) Kuna Msingi wa Kidini? | Je, kutupa barua kwenye kisima cha Msikiti wa Jamkaran kuna msingi wa kisharia au uzushi
Barua na maandiko ya mkono ni aina ya kuelekea na kutawassali (kuomba msaada) kwa watu wa nyumba ya Mtume | Maasumina -(amani iwe juu yao).
-
Barua ya 18 ya Nahjul Balagha / Onyo kwa Viongozi wote wa Serikali ya Kiislamu
Barua ya kumi na nane (18) ya Nahjul Balagha, ingawa imeandikwa kwa jina la Abdullah bin Abbas, gavana wa Basra wakati huo, lakini inapaswa kuchukuliwa kama onyo kwa viongozi wote wa serikali katika historia yote. Onyo hili linapaswa kuwa mwongozo wa kila mtu anayepewa nafasi au jukumu katika taasisi mbalimbali za mfumo wa Kiislamu.