Bukoba
-
Shia Development Organization na JAI Waongoza Zoezi Kubwa la Uchangiaji Damu Bukoba
Waandaaji wa tukio hilo wamesisitiza umuhimu wa jamii kujitolea na kuwajali wananchi wasiojiweza, hususan wale waliolazwa hospitalini na wanaohitajika kuongezewa damu ili kuendelea kuishi. Wamesema misingi ya Mafundisho ya Kiislamu kupitia watukufu wa Ahlul-Bayt (a.s) inasisitiza thamani ya utu, kusaidiana na kujitoa kwa ajili ya kuimarisha ustawi wa jamii.
-
Semina ya Mubaghilina wa Mkoa wa Kagera - Wilaya ya Muleba - Tanzania
Kauli mbio yetu ni: Kama Mubalighina ni kuhakikisha malengo ya Mtume (s.a.w.w) yanatimia kwa njia safi ya kuleta umoja, upendo na amani.
-
Taasisi ya SHIDO - Bukoba, Kagera, Tanzania yafanya mafunzo ya ufundishaji kwa kutumia Syllabus kwa Walimu
Twende pamoja mkono kwa mkono katika Harakati za Tabligh za kueneza Mafunzo na Maarifa Safi ya Ahlul-Bayt(a.s).
-
Tabligh - Tanzania:
Baadhi ya harakati za Kidini za Taasisi ya Kiislamu ya S.D.O - Bukoba, Tanzania
Kwa mtu yeyote, anayetaka thawabu na malipo mema toka kwa Allah (s.w.t), kupitia kusapoti na kusaidia Harakati hizi za Kidini za S.D.O Bukoba, Tanzania, basi anakaribishwa na mlango upo wazi.