Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) -ABNA- Uongozi wa Shiat Development Organization (SHIDO) umeendesha mafunzo ya ufundishaji kwa kutumia muongozo / Syllabus na kufanya maandalizi kabla ya kuingia Darasani kwa Walimu wa Vituo vyake Vitatu (3) vya Kidini vilivyopo:
(Katobago - Wilaya ya Muleba -, Kemondo na Bukoba Mjini). Lengo kuu la mafunzo hayo ni kuboresha ufaulu na umakini kwa Mwalimu kabla ya kuingia Darasani.
Karibu twende pamoja mkono kwa mkono katika Harakati za Tabligh za kueneza Mafunzo na Maarifa Safi ya Ahlul-Bayt(a.s).
Your Comment