Kimya
-
Mkutano wa Dharura wa Viongozi wa Nchi za Kiislamu na Jumuiya ya Kiarabu huko Doha:
Pezeshkian: Uvamizi dhidi ya Qatar ni shambulio dhidi ya diplomasia ya kimataifa / Umoja wa Waislamu ndiyo njia pekee ya kukabiliana na uvamizi huu
Rais wa Iran, Dkt. Masoud Pezeshkian, akilaumu kitendo cha kigaidi na jinai cha utawala wa Kizayuni katika shambulio la mji mkuu wa Qatar siku za hivi karibuni, alisema: “Kwa bahati mbaya, magaidi wanaotawala Tel Aviv, wakijiona hawana hatia baada ya udanganyifu wa aina ile ile kwenye diplomasia Juni 2025 na kuanzishwa kwa vita vya uvamizi dhidi ya watu wa nchi yangu, walijitahidi zaidi.”
-
Jumuiya ya Al-Wefaq: Mkutano wa Waziri Mkuu wa Bahrain na Balozi wa Israeli ni “Dhalili ya Kuanguka kwa Diplomasia”
Jumuiya ya Al-Wefaq imeelezea mkutano wa Waziri Mkuu wa Bahrain na balozi wa utawala wa Kizayuni kama ishara ya kushindwa kwa diplomasia na kuendelea kwa sera ya kawaida za kawaida bila kuzingatia vipengele vya kibinadamu na kidini, na kuwatuhumu viongozi wa Bahrain kushiriki kwa kimyakimya katika “uchumi wa mauaji ya kimbari.”
-
Mwenyekiti wa Bunge la Umoja wa Waislamu wa Pakistan:
Kila siku huko Gaza ni Apocalypse (Zama za Mwisho / Mwsiho wa Dunia) / Ukimya wa watawala wa Kiarabu unatia uchungu zaidi kuliko uhalifu (jinai)
Mwenyekiti wa Baraza la Umoja wa Waislamu wa Pakistan amesema: "Tukio chungu zaidi si tukio la uhalifu unaofanyika dhidi ya Gaza, bali ni kile kimya kinachojiri katika Kasri za watawala wa Kiislamu na Kiarabu." Lugha zilizokuwa zikizungumza kutetea Uislamu sasa hivi zinalamba nyayo za madola ya kibeberu.