Kutawala
-
Katibu wa Harakati ya Khalas nchini Bahrain: Katibu wa Harakati ya Khalas nchini Bahrain: Utawala wa Al Khalifa Uko Katika Hali ya Kuchanganyikiwa na Hofu ya Maasi ya Wananchi wa Bahrain;
Maandamano ya Wananchi Yamesababisha Kucheleweshwa kwa Kutolewa kwa Hukumu Dhidi ya Wanazuoni wa Kidini
Dkt. Abdulraouf Al-Shaib amesema: “Katika mazingira ya sasa, ninawaambia wananchi wa Bahrain kwamba utawala wa Al Khalifa unahangaika na kujitapatapa, na umepoteza uhalali wake wote wa kutawala. Kwa hiyo, inukeni kupinga udikteta wa utawala huo.”
-
Mkuu wa Polisi wa Utawala wa Aal Khalifa Akiri Sera ya Ukandamizaji wa Kishia kwa Sababu za Kiitikadi
Tovuti ya habari ya “Mir'at al-Bahrain”, katika uchambuzi wake kuhusu matamshi ya Tareq bin Hassan Al-Hassan, Mkuu wa Polisi wa Bahrain, aliyoyatoa katika mahojiano na shirika la habari la Reuters, imeandika kuwa kwa kuwatuhumu Waislamu wa Kishia kufuata uongozi wa Iran na “kupandikizwa” fikra zinazohusiana na Iran, amekuwa akijaribu kuhalalisha mashambulizi ya kiusalama dhidi ya wanazuoni wa Kishia na kuficha sura halisi ya ukandamizaji huo.
-
Ayatollah Mojtaba Khamenei: Kuchochea Mfarakano Baina ya Waislamu Hakukubaliki Tena
Ayatollah Sayyid Mojtaba Khamenei amesema kuwa katika zama hizi si sahihi tena kuhusisha uchochezi wa mfarakano baina ya Waislamu na ujinga au uzembe, wakati madhalimu wa dunia, wakiongozwa na Marekani, wameweka wazi malengo yao ya kikoloni na mipango ya kutawala na kuonyesha wazi nia zao za kuleta madhara.
-
Araghchi: Tatizo letu na Marekani si upatanishi, bali ni msimamo usio na mantiki wa Washington
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, amesema kuwa Iran haina tatizo la kubadilishana ujumbe na Marekani, akisisitiza kuwa kikwazo kikuu ni msimamo usio na mantiki, madai yaliyopitiliza na tabia ya kutawala ya Washington.
-
Hali ya Majonzi Yatanda Tehran sambamba na kuanza kwa Shughuli za Kumuaga Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Hali ya majonzi na huzuni kubwa imeendelea kutawala katika mji wa Tehran kuelekea shughuli za mwisho za kumuaga Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Shahidi Ayatollah Sayyid Ali Khamenei(Ra), huku umma wa Kiislamu ukiendelea kutoa heshima zake kwa Kiongozi huyu Mwema na mtetezi wa Haki za Wapalestina na Haki za wanyonge popote walipo Ulimwenguni.