Matukio kama haya ya Usomaji wa Dua mbalimbali yanaongeza moyo wa ibada miongoni mwa wanafunzi na hutoa nafasi ya kuungana kiroho katika jamii ya hawza hiyo, huku yakihimiza umuhimu wa dua kama silaha ya waumini katika maisha ya kila siku.
Usomaji wa Dua wa namna hii kawaida huvutia ushiriki mkubwa wa Wanafunzi na Wapenzi wa Ibada na Dua, na kuleta hali ya utulivu wa kiibada katika mazingira ya Chuo hiki cha Kiislamu.