Donald Trump kama Mwakilishi wa Wazi wa Utawala wa Marekani, Afichua Uso Halisi wa Taifa Hilo
Donald Trump, aliyekuwa rais wa Marekani, alijitokeza kama mwakilishi wa bila kificho wa watawala wa Marekani, na kupitia matendo yake, aliweka wazi sura halisi ya historia na utambulisho wa nchi hiyo.
Kwa hatua yake ya kubadili jina la "Wizara ya Ulinzi" kuwa "Wizara ya Vita", Trump alifichua ukweli kwamba Marekani haiko tena tayari kujificha nyuma ya maneno ya "ulinzi" na "usalama wa kimataifa". Badala yake, alionyesha kuwa taifa hilo sasa linataka kujenga dunia mpya inayozingatia sheria ya vita, si sheria za haki za binadamu au amani ya kimataifa.
"Msanii mashuhuri na maarufu, Bwana Mahmoud Farshchian, alikuwa nyota angavu katika anga ya sanaa ya Kiirani. Uaminifu wake na ucha Mungu wake vilimuwezesha kuutumia uwezo wake wa kipekee katika kuhudumia maarifa na mambo ya kidini, na ameacha nyuma kazi za sanaa zisizofutika. Rehema na radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake. Nawasilisha rambirambi za dhati kwa familia yake, marafiki zake, wanafunzi wake, na jamii ya wasanii nchini."