Tafakuri
-
Makala ya Tafakuri: Familia ya Fatima (SA); Kuanzia Mbinu za Kuiga Mfano Wake Hadi Nguzo za Maisha ya Kifatimiyya Katika Zama Zetu
“Familia ya Fatima (SA)” si jamii bora ya kufikirika iliyo mbali, isiyoweza kufikiwa au iliyofungwa ndani ya historia ya zamani. Bali ni mfumo hai, wenye nguvu na unaofaa kwa nyakati zote, ambao unaweza kutekelezwa katika mazingira ya mabadiliko ya dunia ya leo. Tunapoiachilia dhana ya kuiga mfano mwema kutoka kwenye mipaka ya mbinu za kihistoria, na kuweka roho ya kushikamana na uongozi wa kidini, utulivu wa kiroho, kutafuta baraka, haya na kujitolea kuwa msingi wa mahusiano ya kifamilia, nyumba hugeuka kuwa mahali salama ambapo uchovu wa dunia ya leo yenye kelele na misukosuko huyeyuka. Katika mazingira hayo, kizazi kijacho hukua na kustawi kikiwa na usalama wa kisaikolojia na heshima inayotokana na imani.
-
Uelewa na Utambuzi wa Wilayat al-Faqih: Kwa Nini Uislamu Hauwezi Kutenganishwa na Siasa na Utawala?
Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yalianzishwa kwa msingi wa kwamba mafundisho ya Kiislamu hayahusu ibada na maisha ya mtu binafsi pekee, bali pia yanajumuisha siasa, utamaduni, uchumi na uendeshaji wa jamii. Mtazamo huu, kwa kurejelea mwenendo wa Mtume wa Uislamu (s.a.w.w.), urithi wa fiqhi ya Kishia na fikra za Imam Khomeini, unaeleza misingi ya uhusiano kati ya dini na serikali, pamoja na nafasi ya Wilayat al-Faqih (Uongozi wa Mwanachuoni wa Fiqhi ya Kiislamu).
-
Madrasat Hazrat Zainab (sa) Yaendeleza Uhuishaji wa Dua Kumayl - Kigamboni, Dar-es-Salam
Wanafunzi mabinti wa Madrasat Hazrat Zainab (sa), Kigamboni jijini Dar es Salaam, wameendelea na utaratibu wa kila wiki wa kuhuisha kisomo cha Dua Kumayl, ikiwa ni sehemu ya programu za malezi ya kiroho na kimaadili zinazolenga kuwajenga wanafunzi katika mazingira ya ibada, dua, tafakuri na kujikurubisha kwa Mwenyezi Mungu (swt).
-
Aya ya 12 ya Suratul-Jathiya na vielelezo vya ujasiri na ustahimilivu wa Yemen
Makala ya ABNA inaangazia Aya ya 12 ya Suratul-Jathiya kuhusu bahari iliyotiishwa na Mwenyezi Mungu kwa ajili ya Mwanadamu, na kuhusisha kwa mtazamo wa tafakuri nafasi ya kimkakati ya Yemen katika Mlango wa Bab al-Mandab. Makala pia inajadili ustahimilivu wa wananchi wa Yemen, nafasi ya wanawake katika kuendeleza jamii, pamoja na msimamo wao wa kuunga mkono watu wa Palestina na Gaza.
-
Hali ya Majonzi Yatanda Tehran sambamba na kuanza kwa Shughuli za Kumuaga Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Hali ya majonzi na huzuni kubwa imeendelea kutawala katika mji wa Tehran kuelekea shughuli za mwisho za kumuaga Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Shahidi Ayatollah Sayyid Ali Khamenei(Ra), huku umma wa Kiislamu ukiendelea kutoa heshima zake kwa Kiongozi huyu Mwema na mtetezi wa Haki za Wapalestina na Haki za wanyonge popote walipo Ulimwenguni.