Uchunguzi
-
Gazeti la Guardian limeandika:
Uingereza dhidi ya Ubinadamu / Kuajiri mamluki wa Colombia nchini Uingereza kwa ajili ya vita nchini Sudan
Serikali ya Uingereza hivi karibuni imeweka taratibu kali zaidi za kuchunguza uhalali wa wakurugenzi wa makampuni, imeweka vikwazo dhidi ya viongozi wa RSF, na imerudia wito wake wa kusitishwa mara moja kwa uhalifu, kulindwa kwa raia, na kuhakikisha upatikanaji wa misaada ya kibinadamu nchini Sudan.
-
Mauaji ya Akili: Washington Post yafichua vita ya siri ya Israel dhidi ya wanasayansi wa Iran
Gazeti la Washington Post limefichua pazia la uratibu wa siri kati ya Tel Aviv na Washington katika kuendesha vita ya kisiri dhidi ya Iran—vita ambayo kiini chake kimekuwa ni kuwaua wanasayansi wa Iran.
-
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu yakataa ombi la Israel la kusitisha uchunguzi wa vita vya Gaza
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) Jumatatu usiku ilikataa pingamizi la kisheria na ombi la rufaa la utawala wa Kizayuni wa Israel, na hivyo kuweka wazi njia ya kuendelea na uchunguzi wa uhalifu wa kivita unaofanywa na utawala huo katika Ukanda wa Gaza.
-
Majibu ya kwanza ya Qatar kufuatia shambulizi la Israel dhidi ya Qatar: Uchunguzi unafanyika katika ngazi ya juu kabisa!!!
Qatar imelaani shambulizi la Israel dhidi ya Hamas mjini Doha.
-
Kuzuiwa kwa njama ya ISIS ya kulenga Mazuwwari wa Arubaini / Magaidi 22 wakamatwa
Gavana wa Karbala ametangaza kufanikiwa kuzuia njama ya kigaidi iliyolenga kushambulia mahujaji wa Arubaini wa Imam Hussein (a.s).