Uhalali
-
Baqaei: Marekani, Mfadhili Mkuu wa Ugaidi Duniani, Haina Sifa ya Kufafanua Ugaidi
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Ismail Baqaei, amesema Marekani, ambayo ameieleza kuwa mfadhili mkuu wa ugaidi duniani, haina uhalali wa kuweka vigezo au kutoa tafsiri kuhusu maana ya ugaidi.
-
Ulaya Haina Uhalali wa Kimaadili wa Kutoa Mafundisho Kuhusu Haki za Binadamu
Araghchi amesema Ulaya inapaswa kwanza kuangalia utendaji wake katika suala la haki za binadamu kabla ya kuitolea Iran matamko ya kimaadili, huku akisisitiza kuwa hali ya sasa ya kiusalama katika Mlango wa Hormuz imesababishwa moja kwa moja na mashambulizi ya Marekani na Israel dhidi ya Iran.
-
Afisa wa Lebanon: Makubaliano Mapya na Israel Hayana Uhalali wa Kisheria
Afisa wa Lebanon, Bassam Al-Hashem, amesema kuwa makubaliano ya mfumo yaliyopendekezwa na Israel hayana thamani ya kisheria bila kuidhinishwa na Baraza la Mawaziri na Bunge la Lebanon, akionya kuwa baadhi ya vipengele vyake vinakiuka mamlaka ya taifa.
-
Kashfa Yazuka Kuhusu Kujiingiza kwa Sara Netanyahu Katika Uteuzi wa Mkuu wa Mossad
Ingawa muungano wa utawala umepongeza uteuzi huo, ndani ya taasisi ya Mossad mwenyewe kuna mshangao mkubwa pamoja na maswali mengi mazito kuhusu uhalali na mchakato wa uteuzi huo.