ufaransa
-
Rais wa Ufaransa awatetea waliomdhalilisha mtume Muhammad s.a.w
Rais wa Ufaransa Francois Hollande amesema leo kuwa waandamanaji wanaopinga jarida la Charlie Hebdo katika nchi nyingine hawaelewi umuhimu inaouzingatia Ufaransa katika uhuru wa kujieleza.
-
Papa Francis akemea kitendo cha kudhihakiwa Mtume Muhammad s.a.w
Kiongozi wa kanisa katoliki ulimwenguni Papa Francis amesema kuwa kuna mipaka ya uhuru wa kujieleza, na wala haitakiwi kutusi au kudhihaki imani ya mtu.
-
Ufaransa kuchapisha katuni la kumdhalilisha mtume Muhammad s.a.w
Gazeti la kila wiki la vibonzo la Charlie Hebdo la Ufaransa toleo la kesho Jumatano linatarajiwa kuchapisha kibonzo cha Mtume Muhammad katika ukurasa wake wa mbele chini ya kichwa cha habari "Yote yameshasamehewa"
-
Viongozi na wananchi waandamana dhidi ya shambulio la Paris
Ufaransa ni moja kati ya nchi ambazo zilikuwa zikiwaunga mkono magaidi wa Daesh ili kuiangusha serikali ya Syria na imetuma wapiganaji wengi katika nchi hiyo ambao wanapambana chini ya kikundi cha kigaidi cha Daesh.
-
Ofisi ya gazeti yashambuliwa baada ya kumdhihaki mtume Muhammad s.a.w Ujerumani
Ofisi ya gazeti la Hamburger Morgenpost, nchini ujerumani imechomwa moto baada ya kuchapisha vikatuni vya mtume Muhammad s.a.w.
-
Hofu ya mashambulizi mengine ya kigaidi yatanda Ufaransa
Ufaransa imeelezea hofu juu ya uwezekano wa kutokea mashambulizi mengine ya kigaidi nchini humo, baada ya yale yaliyotokea wiki hii mjini Paris
-
Mwanamke anayesakwa kwa Udi na Uvumba Ufaransa
Polisi ya Ufaransa Jumamosi ya leo iko kwenye msako mkali wa mjane wa mmojawapo wa watuhumiwa waliouwawa waliohusika na wimbi la mashambulizi mjini Paris ambaye binafsi anahesabiwa kuwa ni mtu wa hatari sana.
-
Washukiwa wa shambulio la Paris wauawa
Majeshi ya usalama nchini Ufaransa, Ijumaa yakitumia mabomu na bunduki yalifikisha mwisho siku tatu za ugaidi mjini Paris, wakiwauwa ndugu wawili wenye mahusiano na kundi la al-Qaeda.
-
Maombi maalum yafanyika kwa ajili ya wahanga wa shambulio la kigaidi la Paris
Kengele zimepigwa katika kanisa katoliki la Notre Dame mjini Paris, wakati raia wa Ufaransa walipowakumbuka wahanga wa shambulizi la kigaidi katika ofisi ya jarida la Charlie Hebdo
-
Picha za shambulio la kigaidi la Paris
Watu 12 wameuawa kutokana na shambulio la kigaidi lililofanyika kwenye ofisi za jarida moja mjini Paris Ufaransa. Kwa mujibu wa taarifa, watu wengine zaidi ya 10 walijeruhiwa katika shambulio hilo.
-
Watu 12 wameuawa katika shambulizi la kigaid Paris
Watu 12 wameuawa kutokana na shambulio la kigaidi lililofanyika kwenye ofisi za jarida moja mjini Paris Ufaransa. Kwa mujibu wa taarifa, watu wengine zaidi ya 10 walijeruhiwa katika shambulio hilo.
-
Hollande: vikwazo dhidi ya Urusi vinaweza kuondolewa
Rais wa Ufaransa Francois Hollande amesema leo kuwa vikwazo vya nchi za Magharibi vinavyoendelea kuiathiri Urusi vinapaswa kuondolewa kama hatua zitapigwa katika ufumbuzi wa mgogoro wa Ukraine.
-
Ufaransa yataka Palestina itambuliwe kama taifa huru
Baraza la Seneti la Ufaransa limepiga kura kuunga mkono azimio linaloitaka serikali ilitambue taifa la Palestina na kuhimiza mazungumzo yaanze haraka kati ya Israel na Palestina.
-
Ndege ya Urusi yakamatwa Nigeria ikiwa na shehena la Silaha
Ndege ya mizigo iliyosheheni silaha za kivita imekamatwa katika uwanja wa ndege wa Kano nchini Nigeria.
-
Rais wa Ufaransa aenda Urusi kujadili mgogoro wa Ukraine
Rais wa Ufaransa amefanya safari kwenda Urusi kujadili kuhusu njia za kumaliza mgogoro wa Ukraine kwa njia ya mazungumzo na amani, Francois Hollande amekuwa kiongozi wa kwanza wa Ulaya kwenda Urusi kufanya mazungumzo Vladimir Putin kuhusiana na Ukraine.
-
Ulaya
Urusi yapeleka meli za kivita jirani mwa Ufaransa na Uingereza
Serikali ya Urusi imepeleka meli za kivita karibu na nchi za Ufaransa na Uingereza.