23 Mei 2025 - 19:10
Mkutano wa Dkt. Ali Pourmarjan, Balozi wa Iran Nchini Kenya na Mchoraji Maarufu wa Katuni nchini Kenya

Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Mshauri wa Masuala ya Kitamaduni katika Ubalozi wa Iran jijini Nairobi, Dkt. Ali Pourmarjan, leo amefanya mkutano wenye mafanikio na mchoraji maarufu wa katuni wa Kenya, GADO, kujadili ushirikiano katika nyanja ya sanaa na fursa nyingi za kushirikiana katika siku zijazo.

Mkutano wa Dkt. Ali Pourmarjan, Balozi wa Iran Nchini Kenya na Mchoraji Maarufu wa Katuni nchini Kenya

Your Comment

You are replying to: .
captcha