Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul Bayt (AS) - ABNA - Hojjatul-Islam wal- Muslimeen, "Sayyid Kazem Amiri", mmoja wa maprofesa wa Seminari ya Imam Sadiq (AS) ameuawa katika mji wa Kashem, Mkoa wa Badakhshan, Afghanistan.
Hakuna maelezo zaidi bado yanayopatikana kuhusu muuaji au wauaji, na nia na namna ya mauaji ya Mwanachuoni huyu wa Kishia.
Habari hii itasasishwa...
Your Comment