Mimi nanyanyua juu Bendera ya Iran 🇮🇷 nikijifakharisha na Bendera hii, miaka 46 Bendera hii imepambana na adui kwa ajili ya Umma wa Kiislamu +Video
19 Juni 2025 - 03:51
News ID: 1699605
Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Hussein Al- Barudi, mchambuzi wa Masuala ya kiasisa Nchini Iraq, akiwa katika kipindi cha Mubashara cha Television ya Al-Ayyam amesema: "Mimi nanyanyua juu Bendera ya Iran 🇮🇷 nikijifakharisha na Bendera hii, kwa sababu miaka 46 Bendera hii ya Iran imevumilia na kupigana vita vingi na adui, hata vita vya mitandao ya kijamii, yote ni kwa ajili ya Umma wa Kiislamu. Hivyo, najifakharisha sana kunyanyua juu Bendera hii ya Iran inayowapigania Waislamu wote".
Your Comment