Kwa mujibu wa shirika la habari la kimataifa la AhlulBayt (AS) - Abna, taarifa hiyo inasema: "Tunalaani vikali uchokozi wa Marekani dhidi ya uhuru wa Iran. Uchokozi huu ni kitendo hatari na hatua ya kipofu inayofuata mipango ya utawala wa Kizayuni na ukiukaji wazi wa sheria za kimataifa."
Hamas iliendelea kusisitiza unga mkono wake kamili kwa "uongozi na taifa la Iran", ikisema: "Tuna uhakika kwamba nchi hii inaweza kujitetea."
342/
Your Comment