25 Januari 2026 - 13:00
Simulizi ya Trump Kuhusu Haki za Binadamu Yazua Utata

Trump katika kiwango cha juu cha unafiki; anawatetea Wavunjifu wa Amani Iran, lakini anahalalisha mauaji ya waandamanaji kwa Amani Marekani!.

Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Haki za Binadamu kwa Simulizi ya Trump: Anajenga simulizi ya “kudhulumiwa” kwa wachochezi wa fujo nchini Iran, ilhali anahalalisha na kutetea mauaji ya polisi dhidi ya raia wake.

Trump, ambaye siku chache zilizopita alipuuza ukweli wa kuwepo magaidi wenye silaha mitaani Iran na akawaita “waandamanaji wenye haki”, leo amechapisha picha ya silaha binafsi ya mtu aliyeuawa na polisi wa Marekani, na akaandika: “Tazameni silaha yake, alikuwa na magazini mbili zilizojaa risasi,” kwa lengo la kuhalalisha kuuawa kwake na kuonyesha kwamba kitendo cha polisi kilikuwa halali.

Tags

Your Comment

You are replying to: .
captcha