Ripoti ya shirika la habari la Ahlul Bayt(as) –ABNA- imeeleza kuwa kutendewa vibaya Ayatullah Sheikh Baqir Namr khatibu wa Ijumaa wa Mkoa wa Al-Awamia Televisheni za Kiwahabi zimeosha furaha zao na kuandaa vipindi maalum kwa tukio hilo.
Televisheni ya Wesal na Safaa zilirusha vipindi maalum kwa kushikwa Ayatullah Namr na kuonyesha furaha zao kwa kushikwa kwake.
Msimamizi wa Televisheni ya Wesal aliekuwa maarufu kwa kutukana Ushia na Mashia kutambua kuwa Mashia ni Makafiri, na kushikwa Ayatullah Sheikh Namr alipongeza Polisi ya A`ali Saudi na kusema kuwa Ayatullah Namr ni Kafiri ni haki kwake kutiwa mbaroni.
Msimamizi huyo alijitahi kuonyesha kila aina ya furaha ya kushikwa kwa Ayatullah Namr na kuamua kufanya kitendo cha ajabu, kusujudu kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kushikwa Ayatullah Namr, na kipindi hicho kilikuwa kikirushwa moja kwa moja(live).
Aidha Televisheni zingine za Kiwahabi zilionyesha furaha zao kwa kushikwa Sheikh Namr na kuwa siku hiyo Idi na Sherehe kwa kundi la Kiwahabi.
Kushikwa Sheikh Namr Televisheni za Kiwahabi zilichukuwa fursa hiyo kuwa ndio njia ya kufanyia Mashia masihara na Kuwatukana kila aina ya matusi, hii ni kuonyesha dhuluma inayofanyiwa na Utawala haramu wa A`ali Saudi na ukushirikiana na utawala wa A`ali Khalifa Bahrain kuwakandamiza Wananchi wa Nchi hizo.
La kustaajasha ni kwamba baada ya kupingwa risasi Ayatullah Sheikh Baqir Namr na kupelekwa sehemu isojulikana na kitendo hicho kilikirushwa moja kwa moja(live) na Televisheni za Saudia Arabia huku Sheikh akitirirka damu...
OH! OH! OH! OH! OH! OH!!! KITENDO AU VITENDO KM HIVI NI VITENDO VYA BANII UMAIYA WALIVYO MFANYIA MJUKUU WA MTUME(SAW) KUMKATA KICHWA NA KUKIPELEKA KICHWA KITUKUFU CHAKE KILA SEHEMU ILI KUONYESHA WATU NINI WALICHOMFANYIA MJUKUU WA MTUME(SAW), MAMBO HAYO BADO YAJIREJEA KWA KUDHALILISHWA WAFUASI WA IMAM HUSSEIN KUONYESHA MOJA KWA MOJA(LIVE) KWENYE TELEVISHENI JINSI ATIRIRIKA DAMU AYATULLAH SHEIKH BAQIR NAMR .
JE!! MAMBO HAYA YAFAA KUFANYIWA MNYAMA? !! HISTORIA BADO YA JIREJEA MAMBO ALIOFANYA YAZID IBN MUAWIYAH SASA YAFANYWA NA UTAWALA HARAMU NA WAKIDHALIMU WA A`ALI SAUDI WATOTO WA BANII UMAIYA.