MAKALA
-
Waraka wa “Siri Iliyo Hifadhiwa” ni nini?
Mtume Mtukufu (s.a.w.w) katika ubora na thawabu ya kumswalia Bibi Fatimah Zahra (a.s) amesema:…
-
Kwa nini Wafuasi wa Madhehebu ya Kisunni (Masunni) huswali wakiwa wameweka mikono juu ya tumbo (wanafunga mikono tumboni katika Swala)?!
Katika fiqhi ya Kisunni, tendo hili linajulikana kwa majina kama "Qabdh al-Yadayn" (kukamata…
-
Barua ya 18 ya Nahjul Balagha / Onyo kwa Viongozi wote wa Serikali ya Kiislamu
Barua ya kumi na nane (18) ya Nahjul Balagha, ingawa imeandikwa kwa jina la Abdullah bin Abbas,…
-
Mapendekezo Manne Muhimu Kutoka kwa Imam Hasan al-Mujtaba (a.s)
Hii ndiyo kanuni ya dhahabu ya uadilifu. Ikiwa tungekuwa tunapenda kutendewa kwa heshima, haki…
-
"Wema Hauozi, Dhambi Haisahauliki, Allah Hafi, Utalipwa kama Ulivyotenda" | Ni Maneno Mazito kutoka katika Vyanzo vya Kiislamu
Maneno haya ni wito wa kutuweka kwenye mstari wa Ucha Mungu, uwajibikaji wa nafsi, na kujiepusha…
-
Infografia | Utambulisho wa Qā’im wa Aal Muhammad (s.a.w.w) katika Khutba ya Ghadir (9)
"Tambueni! Hakika mwisho wa Maimamu kutoka kwetu ni Qā’im al-Mahdi...Hakika yeye ndiye Hujja…
-
Imam Baqir (a.s): Kutoka Machozi hadi Fikra
"Ninapokusoma jina lako, nakushukuru kwa ukubwa wa maarifa yako, na pia nakumbuka machozi yako…
-
Ijue Siri ya Majina ya Heshima (Lakabu) ya Imamu Ridha (a.s) _ (1)
Majina haya ya heshima (Lakabu) hayakuwa tu kwa lengo la kuitana (ili mradi kuitana, pasina…
-
"Maarifa ya Nahjul Balagha (3) / Dua za Imam Ali (a.s)"
Hata ingawa seti ya dua zinazosimuliwa kutoka kwa Imam Ali (a.s) inafikia takriban dua 700,…
-
Matendo Mema katika Dua na Swala za Sunna (Sehemu ya 1)
Huu ni mkusanyiko uliokusanya baadhi ya matendo ya kufanya usiku na mchana, swala za Sunnah…
-
Waqfu wa Kiongozi wa Mapinduzi 5 / Mtoaji mkubwa wa Waqfu wa Nakala za Maandishi ya Kale katika historia ya Haram Tukufu ya Razavi
Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi, pamoja na Waqfu mbalimbali alizotoa kwa Haram Tukufu ya Razavi…
-
Hadithi / Tukio la Kushusha Bendera ya Kuba ya Haram ya Bibi Zainab (a.s)
Imam wa Haram ya Bibi Zainab (a.s) alitangaza sababu ya kushushwa kwa bendera iliyokuwa juu…
-
Ni ipi maana ya Meditation (Tafakuri - Kutafakari)?. Je, ni Dini au sio Dini? Samahat Sheikh Dr. Abdur-Razak Amiri anafafanua zaidi kuhusu hilo
"Meditation" ni aina fulani ya utaratibu unaofuatwa Duniani kote sasa hivi. Na baadhi ya watu…
-
Umuhimu wa Hijab kwa Mwanamke: Ni kwa nini Hijab ni Wajibu kwa Mwanamke wa Kiislamu?
Katika zama hizi, Hijabu imelinganishwa na kutoendelea kwa jamii na inafikiriwa kuwa ni ishara…
-
Jinsi ya kuthibitisha Isma ya Maimamu 9 (a.s) kutoka ndani ya Qur’an Tukufu
“Na (Kumbukeni) Ibrahim alipojaribiwa na Mola wake kwa matamko, naye akayatimiza. Akasema:…
-
Umuhimu wa Qur'an Tukufu katika Maisha yetu kama Wanadamu
Kila Aya katika Aya za Qur’an ni chimbuko la mwangaza, muongozo na rahma, kwa hiyo mwenye kutaka…
-
Majukumu ya Mwalimu na Mwanafunzi:
Majukumu ya Mwanafunzi yamegawanyika katika sehemu kuu tatu (2)
Amesema Mtume (s.a.w.w): “Mfano wa anaye jifunza akiwa mdogo ni kama Anaye nakishi (anaye chora)…
-
Fiqh Na Hukumu Zake:
Namna ya Kutoharisha vitu vilivyo najisika kwa kutumia Maji
Anuani ya makala yetu inasema: "Kwa kutumia Maji" kwa kuwa maji ndio yaliyochukua nafasi kubwa…
-
Majukumu ya Mwanalimu na Mwanafunzi (1)
Majukumu ya Mwalimu yamegawanyika katika sehemu kuu tatu :- Majukumu yake binafsi, majukumu…
-
Video + Mwanachuoni huyu wa Kisunni anasema "Sisi tunajikurubisha kwa Allah kwa kumpenda Hassan, na Hussein, na Fatima na Ali"
Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) -ABNA- Mwanachuoni huyu wa Kisunni anasema…