Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA- Mara nyingi Marekani imetumia mbinu za kisiasa na kijihadi kuibua maandamano dhidi ya Iran, wakiwa na matumaini kwamba maandamano ya ghasia na fujo yataweza kudhoofisha mamlaka ya taifa hilo.
Hata hivyo, majibu ya Wairani umekuwaje? Picha na matukio yaliyojitokeza yanathibitisha: maelfu ya Wairani walikusanyika kwa wingi tarehe 11 Februari 2026, kuonyesha mshikamano wao na taifa lao na kuthibitisha wazi kwamba Marekani ni adui wa Umma wa Kiislamu duniani kote.
Matukio haya yanaonyesha wazi kuwa mbinu za adui hazina nafasi mbele ya mshikamano wa wananchi wa Iran, na kwamba kila jitihada ya kuharibu taifa hili imekosa na itashindwa kama ilivyoshindwa hapo awali.
Your Comment