Ripoti ya shirika la habari la Ahlul Bayt(as)-ABNA- Nasir Al-Amr Sheikh wa Kiwahabi ambae hapo kabla alitowa fatwa ya kuowa Wanawake wa Kishia kusema; Wanawake hao gawaneni kwa uwadilifu na hii fatwa ya JIHAD AL-NIKAH na maharimu zenu oweni hakuna tatizo.
Sheikh huyu wa Kiwahabi aliongea amaneno hayo katika Televisheni ya Kiwahabi Al-wasal kuruhusu Mujahidina ( waasi wa Syria) ambao wameowa na wapo mbali na familia zao kuowa Wanawake ambao hawaruhusiwi kisheria kuwaowa.
Alisema: twashukuru Mujahidina (waasi wa Syria) kwa kuonyesha nguvu zao kuwa dhidi ya serikali ya Syria na Iran(!!!) na kujitolea kwa hali na mali.
Aidha Sheikh huyo wa Kiwahabi alikosowa vikali fatwa ambazo zipo dhidi ya binadamu na Uislamu akisema:Baadhi daima hutowa fatwa tu za kuhimiza kusaidia Mujahidina (waasi wa Syria) na kukosolea fatwa hizo, ama hughafilika kua damu za Watoto na akina Mama za mwagwa bila kuzungumzia ufisadi huo.
Nasir Al-Amr Sheikh wa Kiwahabi ambae hapo kabla alitowa fatwa ya kuowa Wanawake wa Kishia na kuomba wagawane Wanawake hao kwa uwadilifu.
Aidha Sheikh Muhammd Al-Arifi alitowa fatwa ya JIHAD AL-NIKAH na kupingwa watu wengi katika nchi za Kiislamu na kusababisha mvutano baina ya Waislamu, ila baada ya muda alikanusha maneno na fatwa yake kukana kuwa yeye hajasema maneno hayo.
Sheikh Al-Arifi baada ya kuona watu wapo dhidi yake alikanusha maneno hayo, na watu walokuwa na fikra kama hizo na kuzifanyia kazi hufanya kitendo haramu kwa mujibu wa kanuni za Kiislamu, aidha maneno ya Nasir Al-Amr Sheikh wa Kiwahabi ni ishara tosha kutokuwa na ufahamu wa Dini ya Kiislamu hutanguliza chuki binasfi ya Madhehebu ya Shia na kutowa fatwa.