-
Iran imeapa kutoa jibu "kali" ikiwa itawekewa tena vikwazo vya Magharibi kupitia Umoja wa Mataifa
Msemaji wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (AEOI) Behrouz Kamalvandi anasema kuhusu nchi za Magharibi: Iran imezionya nchi za Magharibi dhidi ya kichochezi cha "kidhalimu" cha "kuwekea kwa mara nyingine tena" vikwazo dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu katika Umoja wa Mataifa, akisema kwamba Iran itatoa jibu kali la kutisha.
-
Video | Jeshi la anga la (Iran) IRGC litaonyesha wazi jiji la ajabu la Makombora (la chini ya ardhi)
Kulingana na Shirika la Habari la Ahl al-Bayt (AS) - Abna - Wanaanga wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu watazindua Jiji la ajabu la roketi (Makombora) usiku wa leo (Jumanne, Machi 5, 2025). Kamanda wa kikosi cha anga la jeshi la Gadi ya Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran Brigedia Jenerali Amir Ali Hajizadeh amesema kuwa tukiamua kila wiki kuonyesha jiji moja la makombora chini ya ardhi, miaka miwili itaisha tukiwa hatujamaliza kuonyesha majiji yote.
-
Video | Wanafunzi wa Ufaransa waandamana kupinga mauaji ya kimbari ya Gaza
Kulingana na Shirika la Habari la Kimataifa la Ahl al-Bayt (AS) - Abna - Wanafunzi wa Ufaransa walilaani mauaji ya halaiki huko Gaza kwa kunyunyiza damu bandia kwenye mnara wa Chuo Kikuu cha Sorbonne huko Paris.
-
Maafisa wa Umoja wa Mataifa: Wasichana wa Afghanistan Wanapaswa Kurejea Shuleni
Mkurugenzi mtendaji wa Idara ya Umoja wa Mataifa ya Wanawake, akizungumzia kuendelea kupigwa marufuku kwa elimu ya wasichana wa Afghanistan, amesema kuwa wasichana katika nchi hii wanapaswa kurejea shuleni haraka iwezekanavyo.
-
Mjukuu wa Nelson Mandela:
Shahidi Nasrallah ni kielelezo kwa watu wote walio huru duniani | Kuthamini uungaji mkono wa Iran ya Kiislamu kwa Palestina
Mandela alisema: Tunaheshimu kumbukumbu ya shujaa huyu na ushujaa wake na tunashukuru uongozi na wanachama wa Hezbollah kwa utetezi wao wa kijasiri wa Msikiti wa Al-Aqsa, watu wa Gaza na upinzani mzima wa Palestina.
-
Ripoti ya Picha | Hafla za Uhuishaji wa Usiku wa 23 wa Ramadhani katika Mji wa Lashkargah, Afghanistan
Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahl al-Bayt (AS) - Abna - Hafla ya kuhuisha Ramadhani ya 23 kama usiku wa mwisho wa Lailatul - Qadr ilifanyika katika Msikiti wa Imam Ali (AS) katika Mji wa Lashkargah, Mkoa wa Helmand, Afghanistan.
-
Netanyahu: Kuendelea kuwepo kwa Hamas huko Gaza kunamaanisha kushindwa kwa Israel
Katika taarifa yake mpya, Netanyahu ameonya dhidi ya Hamas kubakia katika Ukanda wa Gaza.
-
Jumuiya ya walimu wa Seminari ya Qom:
Wananchi wa Iran wanapaswa kutangaza utayarifu wao wa kuwasaidia wapiganaji wa Palestina kwa kushiriki katika maandamano ya Siku ya Quds
Katika kizingiti cha Siku ya Quds Duniani, Jumuiya ya Walimu wa Seminari ya Qom imetoa taarifa ikizitaka sehemu zote za Taifa pendwa la Iran kushiriki kikamilifu katika Matembezi ya Amani ya Siku hii ya Quds na kutangaza kwa mara nyingine uungaji mkono wao kwa Muqawamah (Upinzani) wa Kiislamu wa Palestina.
-
Kufunga (Saumu) Kabla ya Uislamu:
Saumu kabla ya Uislamu inasemekana kuwa ilidumu kwa zaidi ya Mwezi mmoja. Ilikuwa ni Miezi mingapi na kwa nini ilikuwa ndefu?
Tunawaona Mayahudi na Wakristo wakifunga kwa namna mbali mbali hadi zama za sasa, ima kwa kujizuia kula nyama au maziwa au kula na kunywa kabisa kwa mujibu wa Hadithi, kufunga (Saumu) katika Mwezi wa Ramadhani haikuwa wajibu kwa nyumati zilizopita, bali waliokuwa wakifunga Saumu ni Mitume (Manabii) wao pekee (a.s), hao ndio waliokuwa wakifunga Mwezi wa Ramadhani.