Video | Jeshi la anga la (Iran) IRGC litaonyesha wazi jiji la ajabu la Makombora (la chini ya ardhi)
25 Machi 2025 - 19:47
News ID: 1544782
Kulingana na Shirika la Habari la Ahl al-Bayt (AS) - Abna - Wanaanga wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu watazindua Jiji la ajabu la roketi (Makombora) usiku wa leo (Jumanne, Machi 5, 2025). Kamanda wa kikosi cha anga la jeshi la Gadi ya Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran Brigedia Jenerali Amir Ali Hajizadeh amesema kuwa tukiamua kila wiki kuonyesha jiji moja la makombora chini ya ardhi, miaka miwili itaisha tukiwa hatujamaliza kuonyesha majiji yote.
Your Comment