-
Picha | Swala la Eid al Fitr iliswaliwa katika Kijiji cha Ushirombo Geita, Tanzania, na huo ndio Msikiti ulivyo, Nyumba ya Mwenyezi
Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA-: Swala la Eid al Fitr iliswaliwa katika Kijiji cha Ushirombo Geita, Tanzania, na huo ndio Msikiti, Nyumba ya Mwenyezi Mungu. Hakika Misikiti yote ni ya Mwenyezi Mungu. Ukitaka Mwenyezi Mungu akujengee Kasri na Nyumba ya Kifahari Peponi, basi kuwa tayari kuijenga Misikiti Duniani ili Waja wa Allah wafanye Ibada ndanimwe, wewe utakuwa umeacha Sadaka ya kubwa mno na thawabu zake zitakufuata ukiwa hapa Duniani na hata baada ya Duniani, na mpaka Peponi Biidhnillah Taala.
-
Video | Falah Islamic Development yafanya Semina Morogoro kuhusu "Wajibu wa Msomi wa Kishia katika Jamii"
Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA-; Leo hii Jumanne tarehe 1/4/2025 Falah Islamic Development imefanikisha kuendesga Semina Maalumu na Wanafunzi wa Kishia wanaosoma Chuo kikuu Cha Waislamu Morogoro - MUM. Semina ilibeba mada ifuatayo: "Wajibu wa Msomi wa Kishia Katika Jamii". Semina hiyo imefanyika huko Mafisa katikati ya Manispaa ya Morogoro.Wazungumzaji katika Semina hiyo ni: Sheikh Issa Hassan na Brother Muslim Bakari Hongera sana kwa wote waliojitokeza kushiriki katika Semina hii na kujipatia Maarifa hayo.
-
Picha na Video | Dua katika Siku ya Eid -ul-Fitr Mkumbara, Tanga
Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA-: Falah Islamic Development Mkumbara Tanga ilifanya dua Maalum katika Siku ya Eid al Fitr.
-
Habari Pichani | Sala ya Eid Ngomboloni Ikwiriri - Rufiji (Tanzania)
Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a s) -ABNA-: Swala ya Eid -ul-Fitr katika Msikiti wa Sayyidat Fatima (s.a) uliopo: NGOMBOLONI IKWIRIRI -RUFIJI
-
Mashambulizi ya roketi kutoka Ukanda wa Gaza kuelekea maeneo yanayokaliwa kwa mabavu
Makazi ya Wazayuni ya "Sadirot" yalilengwa kwa shambulio la roketi.
-
Mchakato wa kuwatimua wahamiaji wa Afghanistan walioko Pakistan unaanza leo hii
Vyombo vya Habari vya Pakistan vimeripoti kuwa mchakato wa kuwatimua wahamiaji wa Afghanistan bila hati za ukazi wa kisheria kutoka nchi hii umepangwa kuanza leo Jumanne (Aprili 1).
-
Mmoja wa Maafisa wa Dawati la Palestina la Hezbollah ya Lebanon ameuawa Shahidi
Jana usiku utawala wa Kizayuni ulishambulia jengo la makazi kwa mashambulizi ya anga bila ya kutoa tahadhari ya awali.
-
Ndege nyingine isiyo na rubani ya Marekani imetunguliwa ndani anga la Yemen
Ndege ya kijeshi isiyo na rubani ya Marekani imdunguliwa katika mMkoa wa Marib.
-
Habari Pichani | Sala ya Eid -ul-Fitr Mjini Dodoma, Tanzania
Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA-: Sala ya Eidul Fitr (1446 AH) Katika viwanja vya Jumuiya ya Shia Ithna Ashari Tanzania (T.I.C), Dodoma Mjini.
-
Ripoti ya Video na Picha | Mkutano kati ya Maafisa wa Utawala wa Iran na Mabalozi wa nchi za Kiislamu na Kiongozi wa Mapinduzi
Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul Bayt (AS) - Abna - Kwa mnasaba wa Eidul Fitri, kundi la Maafisa wa Utawala na Mabalozi wa nchi za Kiislamu walikutana na Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu kabla ya Adhuhuri ya leo (Jumatatu) katika Hosseiniyyah ya Imam Khomeini (RA).
-
Ripoti ya Picha | Maafisa wa Utawala na Mabalozi wa nchi za Kiislamu wamekutana na Kiongozi wa Mapinduzi
Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul Bayt (AS) - Abna - Kwa mnasaba wa Eidul Fitri, kundi la Maafisa wa Utawala na Mabalozi wa nchi za Kiislamu walikutana na Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu kabla ya Adhuhuri ya leo (Jumatatu) katika Hosseiniyyah ya Imam Khomeini (RA).
-
Ripoti ya Picha | Sala ya Eid al-Fitr iliyoongozwa na Kiongozi wa Mapinduzi
Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahl al-Bayt (a.s) - Abna - Sambamba na Swala Adhimu ya Eid al-Fitr kote nchini, maelfu ya Waumini wa Tehran walisali Sala ya Eid al-Fitr asubuhi ya leo chini ya Uongozi (Uimam) wa Ayatollah Khamenei, Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, katika Msikiti wa Imam Khomeini (RA) na mitaa ya jirani, inayouzunguka Msikiti huo.