-
Shambulio baya la jeshi la Kizayuni kwenye Kliniki (Zahanati) ya Umoja wa Mataifa Kaskazini mwa Gaza
Shambulio la Wazayuni katika Zahanati moja katika Ukanda wa Gaza limepelekea kuuawa Shahidi watu kadhaa wakiwemo watoto.
-
Mashahidi 6 na majeruhi kadhaa katika shambulio la jana usiku la Marekani dhidi ya Yemen + Video
Jana usiku, ndege za kivita za Marekani zililenga maeneo kadhaa ya Yemen, na kusababisha idadi ya mashahidi na watu kadhaa kujeruhiwa.
-
Habari Pichani | Swala ya Eid al_Fitr, iliswaliwa Lamu - Kenya
Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Katika Picha hizi ni Waumini Wafuasi wa Ahlul-Bayt (a.s) baada ya Swala ya Eid al_Fitr, iliyoswaliwa Lamu - Kenya kwa Kuongozwa na Sayyid Aidarus.
-
Habari Pichani | Waislamu wafuasi wa Ahlul-Bayt (a.s) wakisherehekea kwa pamoja Sikukuu ya Eid -ul- Fitri, Nakuru - Kenya
Kwa kujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) -ABNA- Waislamu Wapenzi na Wafuasi wa Ahlul-Bayt (a.s) walikutana kwa ajili ya kusherehekea kwa pamoja Sikukuu ya Eid -ul- Fitri, Nakuru nchini Kenya.
-
Habari Pichani | Swala ya Eid al-Fitr nchini Burundi
Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Ahlul-Bayt (a.s) -ABNA-: Waislamu wapenzi na wa Madhehebu ya Ahlul-Bayt (a.s) nchini Burundi, walitokeza kwa wingi katika Swala ya Eid al-Fitri iliyoongozwa na Sheikh Sajjad Fauzi.
-
Habari Pichani | Swala ya Eid-ul- Fitr, (Masjid Ahlu-Bayt a.s), Arusha, Tanzania
Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) -ABNA- Swala ya Eid-ul- Fitr, iliswali Mjini Arusha ndani ya Masjid Ahlu-Bayt (a.s) ikiongozwa na Samahat Sheikh Dkt. Abdul Razak Amiri.
-
Picha | Taasisi ya SHIDO - Bukoba, Kagera, Tanzania na Harakati zake za Tabligh katika kueneza Mafunzo na Maarifa Safi ya Ahlul-Bayt(a.s)
Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) -ABNA-; Uongozi wa Shiat Development Organization (SHIDO) umeendesha mafunzo ya ufundishaji kwa kutumia muongozo / Syllabus na kufanya maandalizi kabla ya kuingia Darasani kwa Walimu wa Vituo vyake Vitatu (3) vya Kidini vilivyopo Katobago, Kemondo na Bukoba Mjini.
-
Taasisi ya SHIDO - Bukoba, Kagera, Tanzania yafanya mafunzo ya ufundishaji kwa kutumia Syllabus kwa Walimu
Twende pamoja mkono kwa mkono katika Harakati za Tabligh za kueneza Mafunzo na Maarifa Safi ya Ahlul-Bayt(a.s).
-
Hassan Badir, Afisa wa Dawati la Palestina la Hezbollah ya Lebanon auawa Shahidi
Utawala wa Kizayuni ulilenga nyumba ya makazi na baadhi ya watu wa familia ya Hassan Badir pia walikuwa ndani ya nyumba hiyo wakati wa jinai hiyo ya Wazayuni.