-
Trump atafakari pendekezo la mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja na Iran
Ikulu ya Marekani White House inatathmini pendekezo la kufanya mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja na Iran; na wakati huo huo inaongeza kiwango cha vikosi vya jeshi lake vamizi katika eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati) ili kujiandaa kwa operesheni tarajiwa za kijeshi dhidi ya Tehran.
-
Baraza la Usalama kufanya mkutano wa dharura kujadili Gaza
Algeria imeomba kufanyika mkutano wa dharura wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kujadili hali ya Palestina. Mkutano huo unatazamiwa kufanyika leo Alkhamisi.
-
Tel Aviv yakumbwa na mshtuko baada ya Trump kutangaza ushuru kwa bidhaa zote za Israel
Maafisa wa utawala ghasibu wa Israel wamepatwa na mshtuko baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kutangaza kutoza ushuru wa asilimia 17 kwa bidhaa zote za Israel, licha ya hivi majuzi Tel Aviv kuondoa ushuru wote kwa bidhaa za Marekani.
-
Mungano wa makundi ya Muqawama wa kukabiliana na njama za utawala wa Kizayuni
Viongozi wa makundi ya Muqawama katika eneo la Asia Magharibi wametoa ujumbe kwa nyakati tofauti wakisisitiza kwamba wataendelea kukabiliana na njama za utawala wa Kizayuni kwa umoja wao.
-
Makumi ya raia wameuawa katika hujuma za US nchini Yemen
Wimbi la mashambulizi ya kiuhasama ya Marekani dhidi ya Yemen kwa lengo la kuilazimisha nchi hiyo ya Kiarabu kusitisha msaada na uungaji mkono wake kwa Wapalestina wa Gaza, limepelekea makumi ya raia wa Yemen kuuawa ndani ya wiki mbili.
-
"Saudia, UAE, Qatar, Kuwait zapiga marufuku ndege za US kufanya mashambulio"
Saudi Arabia na mataifa mengine ya Ghuba ya Uajemi yamepiga marufuku ndege za kivita za Marekani kutumia viwanja vyake vya ndege au anga zao kufanya mashambulizi dhidi ya Yemen.
-
Baraza la Haki la UN lalaani mauaji mapya ya kimbari Gaza
Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja wa Mataifa limepasisha azimio la kulaani mashambulizi mapya ya Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.
-
Israel yaua Wapalestina wengine karibu 80 Gaza, Guterres asikitika
Israel yaua Wapalestina wengine karibu 80 Gaza, Guterres asikitika
-
Guterres asisitiza kutekelezwa usitishaji vita haraka huko Gaza/ Iran pia yatoa wito wa kuchukuliwa hatua kimataifa kusitisha mauaji ya kimbari dhidi
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametaka kurejea haraka iwezekanavyo katika makubaliano ya kusitisha vita katika Ukanda wa Gaza.
-
Israel yashambulia nyumba ya makazi ya raia huko Gaza na kuuwa shahidi watu 15
Idadi nyingine ya Wapalestina wameuawa shahidi katika mashambulizi ya anga ya leo asubuhi utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza.
-
Iran yaalani vikali mashambulizi ya Israel dhidi ya Lebanon
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani vikali mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel katika eneo la Dhahiya katika mji mkuu wa Lebanon, Beirut.
-
Araqchi: Iran haina lengo la kumiliki silaha za nyuklia
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu haitaki kuunda na kumiliki silaha za nyuklia kwa hali yoyote ile.
-
Kauli ya Larijani kuhusu Iran kuunda silaha za nyuklia yatikisa vyombo vya habari vya Kizayuni
Vyombo vya habari vya Kiebrania vya utawala wa Kizayuni wa Israel vimeakisi kwa wingi kauli aliyotoa hivi karibuni Dakta Ali Larijani, Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika mahojiano na televisheni ya hapa nchini, alipotishia kwamba Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itachukua hatua ya kuunda silaha za nyuklia endapo itaendelea kuandamwa na vitisho.
-
Iran yakosoa unafiki wa Wamagharibi kwa kufumbia macho jinai za Israel
Iran imelaani vikali kuendelea kwa mashambulizi na jinai zinazofanywa na Israel dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza na Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan; hususan katika sikukuu za Idul-Fitri, na kutaka hatua zichukuliwe dhidi ya ukiukaji wa haki zinazofanywa na utawala huo ghasibu.
-
Pezeshkian: Mataifa ya Kiislamu yanaweza kukomesha jinai za Israel
Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian amesema umoja na mshikamano miongoni mwa mataifa ya Kiislamu unaweza kuwa chachu ya kukomeshwa jinai za kuogofya za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya wananchi madhulumu wa Palestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Russia: Tuko tayari kuunga mkono uhuru wa kidijitali wa Afrika
Russia imesema iko tayari kupiga jeki nchi za Afrika katika kuendeleza teknolojia zinazohakikisha kuwa kuna utoshelevu na zinaheshimu mamlaka ya kujitawala nchi za bara hilo.
-
Onyo Kali la Iran kwa Marekani na Utawala wa Kizayuni
Katika mazingira ya kuongezeka kwa vita vya kisaikolojia vinavyoendeshwa na Marekani pamoja na utawala wa Kizayuni, na vitisho vya mara kwa mara kutoka kwa Donald Trump na maafisa waandamizi wa usalama wa utawala wake huko Washington kuhusu uwezekano wa kushambulia Iran iwapo kutakosekana makubaliano kuhusu suala la nyuklia, Tehran imetoa onyo kali kwa Marekani na Israel kuhusu madhara makubwa ya hatua yoyote ya kijeshi dhidi ya Iran.
-
Kuuawa Shahidi kwa Wapalestina 15 wakati wa Shambulio la bomu kwenye jengo moja huko Gaza / Hakuna mahali salama huko Gaza
Mashambulio ya kikatili ya utawala wa Kizayuni huko Ghaza yameendelea hivi leo, na kwa sababu hiyo Wapalestina wengi zaidi wameuawa Shahidi.
-
Habari Pichani | Sala ya Eid - ul - Fitr Moshi Mjini - Tanzania
Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Waislamu wapenzi na wafuasi wa Ahlul-Bayt (a.s) walisali sala ya Eid al-Fitr, Moshi Mjini, Tanzania.
-
Habari Pichani | Sala ya Eid - ul - Fitr Jijini Mwanza
Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA- Waislamu wapezni na wafuasi wa Ahlu-Bayt Rasulillah (s.a.w.w) waliswali Swala ya Eid al-Fitr katika Jiji la Mwanza iliyoongozwa na Sheikh Said Mnupe.
-
Habari Pichani | Waislamu wafuasi wa Ahlul-Bayt (a.s) nchini Kenya Katika Sala ya Eidul - Fitr
Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Waislamu wafuasi wa Ahlul-Bayt (a.s) nchini Kenya wakika katika ibada ya Sala ya Eidul - Fitr.
-
Habari Pichani | Sala ya Eid al-Fitr katika Hawza ya Hamgembe (Hawzat Ahlul-Bayt a.s)
Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - abna - Sala ya Eid al-Fitr kwa wanafunzi wa Hawza ya Hamgembe (Hawzat Ahlul-Bayt a.s) iliyopo Bukoba Mjini - Kagera, Tanzania, iliswaliwa katika Masjid ya Zainabiyyah.
-
Habari katika picha | Usiku wa Majlis za Lailatul Qadr na Sala ya Eid al-Fitr katika kituo cha Ahl al-Bayt (AS) nchini Uswizi
Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahl al-Bayt (A.S) - Abna - Marasimu ya kuadhimisha Mikesha ya Nyusiku za Lailatul Qadr na Sala ya Eid al-Fitr ilifanyika mbele ya kundi la wapenzi na wafuasi wa shule ya Ushia katika Kituo cha Kiislamu cha Ahl al-Bayt (A.S) katika mji wa "Zurich", Uswisi.
-
Ujumbe wa Ayatollah Ramezani wa rambirambi kwa Katibu Mkuu Jumuiya ya Kimataifa ya Ukaribu wa Madhehebu za Kiislamu
Katika ujumbe wake, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul-Bayt (AS) ametoa salamu za rambirambi kufuatia Kifo cha Baba yake Hojat al-Islam Wal-Muslimin, Dakta Hamid Shahriari.
-
Ayatollah Ramezani alikutana na Mwakilishi wa Kiongozi Muadhamu nchini Iraq
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Ahl al-Bayt (a.s), alikutana na Ayatollah Sayyid Mujtaba Husseini.
-
Kijana wa Lebanon ambaye alinadi akiwa karibu na Al-Kaaba (kwa kupaza sauti ya wito) wa "Mahdi aliyeahidiwa", ameachiwa kutoka katika jela ya Saudia
Kijana wa Lebanon, ambaye alinadi kwa sauti akitoa wito /shiari ya "Mahdi Aliyeahidiwa" pindi alipokuwa karibu na al-Kaaba, ameachiliwa baada ya miaka mitatu ya kuwa mateka katika jela ya Saudi Arabia.