3 Aprili 2025 - 02:11
Ayatollah Ramezani alikutana na Mwakilishi wa Kiongozi Muadhamu nchini Iraq

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Ahl al-Bayt (a.s), alikutana na Ayatollah Sayyid Mujtaba Husseini.

Kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la Habari la Kimataifa la Ahl al-Bayt (a.s) - Abna, Ayatollah Reza Ramezani, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya  Ahlul Bayt (a.s) alikutana na Ayatollah Sayyid Mojtaba Husseini, Mwakilishi wa Kiongozi Muadhamu nchini Iraq.

Katika kikao hicho, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul Bayt (a.s) akimpongeza Mwakilishi wa Kiongozi Muadhamu nchini Iraq katika Siku ya Eid al-Fitr, ameeleza baadhi ya mambo muhimu kuhusiana na shughuli za kiutamaduni nchini humo na Baraza la Utamaduni la Iraq.

Ayatollah Ramezani alikutana na Mwakilishi wa Kiongozi Muadhamu nchini Iraq

Inafaa kuashiria kuwa Ayatollah Ramezani alikutana na shakhsia mbalimbali huko Najaf al-Ashraf katika safari yake nchini humo na akatembelea vituo mbalimbali vya Kisayansi na kitamaduni vya Najaf al-Ashraf.

Your Comment

You are replying to: .
captcha