Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA-: Tangazo la Dua ya Khitma ya Dada yetu Ukhti Fatima Ali Mwiru, Kesho Jumapili 31 Machi, 2025, Masjid Al_Ghadir, Kigogo Post, Dar-es-salaam, Tanzania.
Dua hii na visomo mbalimbali vitaanza rasmi baada ya Swala ya Eid -ul- Fitr.
Waislamu wote, Wapenzi wa Marhuma Ukhti Fatima Mwiru, mnaombwa kuhudhuria kwa wingi katika Dua hii Muhimu ya Kumrehemu Mpendwa wetu, Dada yetu, Ustadhat wetu, na Mwanaharakati wa Kidini, Marhuma Fatima Ali Mwiru (Rahmatullah Taala Alayha).
Your Comment