Video | Falah Islamic Development yafanya Semina Morogoro kuhusu "Wajibu wa Msomi wa Kishia katika Jamii"
1 Aprili 2025 - 23:32
News ID: 1546314
Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) -ABNA-; Leo hii Jumanne tarehe 1/4/2025 Falah Islamic Development imefanikisha kuendesga Semina Maalumu na Wanafunzi wa Kishia wanaosoma Chuo kikuu Cha Waislamu Morogoro - MUM. Semina ilibeba mada ifuatayo: "Wajibu wa Msomi wa Kishia Katika Jamii". Semina hiyo imefanyika huko Mafisa katikati ya Manispaa ya Morogoro.Wazungumzaji katika Semina hiyo ni: Sheikh Issa Hassan na Brother Muslim Bakari Hongera sana kwa wote waliojitokeza kushiriki katika Semina hii na kujipatia Maarifa hayo.
Your Comment