-
Umuhimu wa Qur'an Tukufu katika Maisha yetu kama Wanadamu
Kila Aya katika Aya za Qur’an ni chimbuko la mwangaza, muongozo na rahma, kwa hiyo mwenye kutaka mafanikio ya milele na kuokoka katika dunia yake, basi ni juu yake kushikamana na kitabu cha Mwenyeezi Mungu (s.w) usiku na mchana na kuzifanya Aya za Qur’an Tukufu kuwa mfano katika kumbukumbu zake na kituo cha fikra zake ili awe katika mwangaza wa Mwenyeezi Mungu (s.w).
-
Majukumu ya Mwalimu na Mwanafunzi:
Majukumu ya Mwanafunzi yamegawanyika katika sehemu kuu tatu (2)
Amesema Mtume (s.a.w.w): “Mfano wa anaye jifunza akiwa mdogo ni kama Anaye nakishi (anaye chora) katika jiwe, na anaye jifunza ukubwani ni kama na anayeandika katika maji”. Japokuwa kutafuta elimu ni vizuri na muhimu katika umri wote, lakini ukiwa katika umri mdogo ndio vizuri zaidi.
-
Historia | Tarehe 8 Shawwal 1345 Hijria, Mawahhabi walibomoa na kuyanajisi Makaburi ya Ahlu Bayt wa Mtume Muhammad (s.a.w.w) katika Mji wa Madina
Historia inaonyesha kuwa, katika tukio hilo la kusikitisha, lililotokea tarehe 8 Mfunguo Mosi Shawwal 1345 Hijria (1925 Miladia) Mawahabi wa Saudi Arabia walibomoa makaburi ya Ahlul-Bayt -a.s- wa Mtume Muhammad (s.a.w.w) ambayo yanapatikana katika ardhi ya Baqi’i, katika Mji Mtakatifu wa Madina.
-
UNICEF: Maisha ya watoto milioni moja huko Gaza yako hatarini
Wakati huo huo hujuma zikiendelea na ugavi wa misaada kwa Gaza ukikatizwa, Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto lilionya kuhusu hali mbaya ya kibinadamu katika eneo hili na kutangaza kwamba maisha ya watoto wapatao milioni moja katika ukanda huu yako chini ya hatari na tishio kubwa.
-
Video | Wachambuzi wa Israel wanakiri kushindwa kwa Marekani dhidi ya Yemen!
Shirika la Habari la Kimataifa la Ahl al-Bayt (a.s) - Abna - : Wachambuzi wa vyombo vya Habari vya Israel walisisitiza kuwa hatuwezi kuwashinda Wahouthi kwa mabomu na ndege, bado wanarusha makombora yao wakati wa vitisho vya Trump.
-
Wall Street Journal: Wanajeshi wa Kizayuni wateka nyara raia wa Syria!
Ripoti za vyombo vya habari zinarejelea mienendo ya jeshi la Kizayuni Kusini mwa Syria na utekaji nyara raia wa nchi hii.
-
Habari Pichani | Tanzania yazindua jengo la Makao Makuu ya Mahakama la kwanza kwa ukubwa Afrika, na la 6 Duniani
Kwa mujibu wa Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Tanzania imekuwa nchi ya Kwanza na ya Kipekee Afrika kwa kuzindua jengo la Mahakama la kwanza kwa ukubwa Afrika na la 6 Duniani. Jengo hili limezinduliwa leo hii (5 April, 2025) Jijini Dodoma - Tanzania, kupitia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan. Ni jengo la Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania, na Nyumba za Makazi ya Majaji.