ABNA swahili
  • HABARI KAMILI
  • HABARI MUHIMU
  • Iran
  • ASIA
  • ULAYA
  • AMERIKA
  • AFRIKA
  • PICHA
  • MAKALA
العربية English فارسی Türkçe اردو Español bahasa Indonesia हिन्दी français 汉语 русский Deutsch Melayu Hausa বাংলা Азәрбајҹан Азәрбајҹан әлифбасы Kiswahili မြန်မာဘာသာ bosanski português سورانی 日本語 Kurmancî Pilipinas Тоҷик italiano 한국어
×
filterToday News
  • Habari Pichani | Sherehe ya Kufikia Umri wa Taklif kwa Wasichana wa Kisengali kwa Ushiriki wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul-Bayt (a.s)

    Habari Pichani | Sherehe ya Kufikia Umri wa Taklif kwa Wasichana wa Kisengali kwa Ushiriki wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul-Bayt (a.s)

    Kwa Mujibu wa Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul Bayt (a.s) -ABNA- Sherehe ya kufikia umri wa kubalehe na kutekeleza Hukumu za Kisheria (Taklif) kwa kundi la Wasichana imefanyika katika Mji Mkuu wa Senegal, Dakar, kwa juhudi za Jumuiya ya Wanawake ya Bibi Fatimah Zahra (s.a) chini ya Baraza la Wanazuoni wa Ahlul-Bayt nchini Senegal.

    2025-06-01 23:43
  • Israel yazuia kuingizwa kwa chanjo muhimu kwa watoto wa Gaza

    Israel yazuia kuingizwa kwa chanjo muhimu kwa watoto wa Gaza

    Mkuu wa kitengo cha watoto katika Hospitali ya Nasser Mjini Khan Younis alitangaza kuwa wavamizi wanazuia kuingia kwa chanjo maalum za watoto katika Ukanda wa Gaza.

    2025-06-01 23:07
  • Wanafunzi wa Madrasatul Hizbullah Al-‘Ilmiyyah Wafanya Mtihani wa Mwisho wa Mwezi - Kazole, Vikindu

    Wanafunzi wa Madrasatul Hizbullah Al-‘Ilmiyyah Wafanya Mtihani wa Mwisho wa Mwezi - Kazole, Vikindu

    Madrasatul Hizbullah Al-‘Ilmiyyah inatoa wito kwa jamii kuendelea kuiunga mkono taasisi hiyo ili iweze kuendelea kutoa elimu bora na kukuza kizazi chenye maarifa, hikma na hofu ya Mwenyezi Mungu.

    2025-06-01 14:12
  • Spika Dkt. Tulia Amkabidhi Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Tuzo Maalu ya Heshima Ya Bunge Jijini Dododma + Picha

    Spika Dkt. Tulia Amkabidhi Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Tuzo Maalu ya Heshima Ya Bunge Jijini Dododma + Picha

    Tuzo hiyo imetolewa na Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson, kama ishara ya kutambua mchango mkubwa wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuimarisha misingi ya Utawala bora, Demokrasia, na Maendeleo ya Taifa kwa ujumla.

    2025-06-01 01:07
  • Wairan Wanaishi Nchini Kenya Wajiunga na Wakenya kuadhimisha Miaka 36 ya Kifo cha Imam Khomeini Jijini Nairobi + Picha

    Wairan Wanaishi Nchini Kenya Wajiunga na Wakenya kuadhimisha Miaka 36 ya Kifo cha Imam Khomeini Jijini Nairobi + Picha

    Balozi wa Iran nchini Kenya, Dkt. Ali Gholampour, aliongoza Kikao hicho na kutoa hotuba kuu iliyomuenzi Imam Khomeini (MA) kama Kiongozi wa Mapinduzi na Mwanafalsafa wa Kiroho mwenye ushawishi mkubwa hadi leo hii.

    2025-06-01 00:23
Shirika la Habari la Ahlul-Bayt (a.s); Abna Sauti ya Mashia wasio na Vyombo vya Habari.
Desktop version Mobile version

Nukuu ya "Maudhui" inaruhusiwa bila kutaja chanzo

Nastooh Saba Newsroom