Kituo cha habari cha "Sa'birin News" kilichapisha habari hii asubuhi ya leo (Alhamisi) kikinukuu kutoka kwa chanzo maalum.
Vyombo hivi vya habari havijachapisha maelezo kwa kina zaidi kuhusu wakati na mahali pa kuzikwa mwili mtukufu wa Katibu Mkuu wa Hezbollah, aliyeuawa Kishahid huko Lebanon.
Hadi sasa, hakuna Habari au tangazo lolote rasmi kuhusu hili ambalo limechapishwa na vyombo vya Habari vya Lebanon na Taasisi rasmi za nchi hii.