Akili Bandia
-
Mufti wa Tanzania, Sheikh Dkt. Abubakar Zuber, Arejea Nchini Baada ya Kikao cha Kimataifa Nchini Misri
"Tumejadili namna bora ya kumaliza mzozo huo kwa njia ya amani. Na tunawaombea ndugu zetu wa Gaza ili Mwenyezi Mungu awape amani na kumaliza mgogoro huu wa muda mrefu,"
-
Wanasayansi wa Iran Watumia AI Kuboresha Picha za Setilaiti na Takwimu za Anga
Wachambuzi wanasema kuwa hatua hii inaweza kuongeza uwezo wa Iran katika usalama wa kitaifa, usalama wa chakula, na uchunguzi wa hali ya mazingira, sambamba na kuipa nafasi ya kushindana katika teknolojia ya anga kimataifa.
-
Mfumo wa Utambuzi na wa Mauaji ya Kigaidi wa Israel: Unategemea Makadirio ya Akili Bandia
Baada ya uchambuzi wa mfumo huo wa Akili Bandia, jengo hupewa "kiwango cha hatari (uwiano wa hatari)" (risk coefficient). Mfumo huo haufanyi maamuzi kwa uhakika, bali hufanya kwa msingi wa makadirio. Kwa mfano: Hata kama kuna asilimia 50 tu ya uwezekano kuwa jengo linahifadhi silaha, linaweza kulengwa na kushambuliwa.
-
Katika kongamano la Kimataifa la "Sayansi, Dini, na Akili Bandia" lililofanyika Zagreb, Shahriyari:
Akili bandia si dhana bali ni mshirika kwa Binadamu katika kila dakika ya maisha yake
Katibu Mkuu wa Umoja wa Kimataifa wa Kuleta Ukaribu wa Madhehebu ya Kiislamu alisema: Mjadala wa akili bandia ni mpana sana na unahusisha kila nyanja ya maisha ya binadamu, na kila mtu anapaswa kuuhusisha kulingana na wajibu wake mwenyewe.