Kufunga
-
Iran Yafunga Mlango wa Bahari wa Hormuz; Yaanza Hatua za Kujibu Ukiukaji wa Makubaliano na Marekani na Israel
Khalil Nasrallah: Iran yafunga Mlango wa Bahari wa Hormuz kama hatua ya kwanza ya kujibu ukiukaji wa makubaliano unaodaiwa kufanywa na Marekani na Israel; sasa mpira uko kwa Donald Trump.
-
Dua ya Kwanza ya Siku ya Mubahala: Njia ya Kumtambua Ahlul-Bayt (a.s.)
Miongoni mwa amali za Siku ya Mubahala kuna dua mbili zinazosomwa baada ya swala. Dua ya kwanza, ambayo haijulikani sana, inahusishwa na kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuongozwa kwenye maarifa ya Ahlul-Bayt (a.s.) na kubainisha nafasi yao ya kipekee katika Uislamu.
-
Je, wasichana waliobalehe hivi karibuni au watu wanaopata ugumu mkubwa kufunga wanaweza kuacha kufunga?
Msichana aliyebalehe hivi karibuni au mtu yeyote anayepata ugumu wa kufunga haruhusiwi kuacha kufunga moja kwa moja kwa sababu ya hofu au dhana tu ya ugumu. Anapaswa kuweka nia ya kufunga mwanzoni mwa siku. Ikiwa wakati wa kufunga atapata taabu au mashaka makubwa yasiyovumilika, ndipo anarusiwa kufungua. Siku aliyofungua atalazimika kuilipa (qaḍā’) baada ya Ramadhani.
-
Siku za Kufunga Mwezi wa Rajab: Hazina Iliyo fichika kwa Wapendao Imani
Kufunga mwezi wa Rajab ni ufunguo wa kufungua milango ya ufalme wa mbinguni na kuhifadhi thawabu zisizo na kikomo. Riwaya zinaeleza thawabu za kufunga huu kwa namna ambayo inaonekana kama tone moja tu kutoka katika bahari ya radhi ya Mwenyezi Mungu.
-
Ushindi wa Jukwaa la Upinzani (Muqawama) ni Kudhihirika kwa Utabiri wa Qur’an
Kushindwa kwa Israel na Marekani katika mapambano ya hivi karibuni kunatokana na uongozi wa busara wa Ayatullah Khamenei, Kiongozi Mkuu wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Kifo cha Kishahidi Klcha Kijana Msyria Usiku wa Harusi Yake Akiwa Anapambana na Uvamizi wa Israel katika Mji wa Bayt Jinn
Kijana mmoja Msyria ameuliwa shahid usiku wa harusi yake wakati akipambana na uvamizi wa jeshi la Israel katika mji wa Bayt Jinn, ulioko katika vitongoji vya kusini mwa Damascus.
-
Kwa nini Wafuasi wa Madhehebu ya Kisunni (Masunni) huswali wakiwa wameweka mikono juu ya tumbo (wanafunga mikono tumboni katika Swala)?!
Katika fiqhi ya Kisunni, tendo hili linajulikana kwa majina kama "Qabdh al-Yadayn" (kukamata mikono miwili), "Takattuf" au "Takfir".