Mtandao

  • Libya yageuka kuwa kitovu cha uhalifu wa kimataifa wa mipakani

    Libya yageuka kuwa kitovu cha uhalifu wa kimataifa wa mipakani

    Ripoti hiyo imeeleza kuwa kutokuwepo kwa utulivu wa kisiasa na kiusalama nchini Libya kumesababisha nchi hiyo kuwa njia kuu ya kupitisha silaha na bidhaa haramu kutoka kusini mwa Afrika kuelekea Bahari ya Mediterania. Barabara ya kaskazini sasa imekuwa njia kuu ya uhalifu wa kimataifa inayounganisha ukanda wa Sahel na Ulaya.