Mwalimu
-
Profesa wa Chuo Kikuu cha George Washington: Iran haiwezi kushindwa kutoka angani / Mabomu hayawezi kuangamiza maarifa na teknolojia
Sina Ozodi, Mwalimu Msaidizi wa Chuo Kikuu cha George Washington, Akosoa na Kuchambua Sera za Rais Donald Trump
-
Ayatollah Faqihi: Kuanzishwa kwa fani maalumu ya “Fiqh ya Usimamizi na Sera” katika vyuo vya kiislamu (Hawza) ni jambo la lazima
Mwanachama wa Jamii ya Walimu wa Hawza ya Qom alisema: Fiqh ya Kiislamu si tu kuhusu ibada na muamala binafsi, bali inaweza pia kuwa mwongozo na msingi katika nyanja za juu za usimamizi wa jamii na sera za umma.
-
Ayatllah Hosseini Gorgani amesisitiza kuwa:
Fiqh ya Usimamizi Ina Historia Ndefu | Utendaji wa vitendo unaoendana na Qur’an ni muhimu katika utawala na usimamizi wa umma
Mwalimu wa Dars-e-Kharij katika Hawza Ilmiyya ya Qom amesema kuwa kuunda serikali na utawala na manabii wa Mungu si jambo jipya, na Qur’an kwa uwazi inataja mtindo wa utawala wa baadhi ya manabii.
-
Burkina Faso: Daktari Aliyemkosoa Rais Traoré Atumwa Vitani kupambana na Magaidi Baada ya kupata Mafunzo ya Kijeshi - Kisa Kinachozua Mjadala Mpana
Rais Ibrahim Traoré, akizungumza katika mahojiano ya televisheni ya kitaifa, alithibitisha tukio hilo na kusema kwa maneno makali: “Kama kuna daktari, mwalimu, au mfanyabiashara anayehisi anajua zaidi kuhusu vita kuliko wanajeshi wetu, basi ni bora naye achangie kwa vitendo - aende vitani.”
-
Kichwa cha Jeshi la Taifa la Kuendesha Sala:
Malezi ya kidini na maadili yanapaswa kuanza nyumbani na kuimarishwa Shuleni
Hujjatul-Islam wal-Muslimin Qaraati, akionyesha umuhimu wa malezi ya kidini katika familia na shule, alisisitiza umuhimu wa kuzingatia jukumu la Chuo cha Walimu, walimu na wazazi katika kuimarisha utamaduni wa sala miongoni mwa kizazi kipya.
-
utolewa Kazi kwa Mwalimu Muislamu Ubelgiji Kwa Sababu ya “Ufundishaji wa Kifundamentalisti”
Mwalimu mmoja Muislamu nchini Ubelgiji ameondolewa kazini kutokana na kile ambacho mamlaka yalichoona kama ishara za ufundishaji wa kifundamentalisti.
-
Darasa la Qur’an Tukufu katika Madrasat ya Mabanati ya Hazrat Zainab (sa) Laendelea kwa Mafanikio Makubwa
Darsa hili la Qur’an Tukufu linawafundisha zaidi Wanafunzi kuwa Qur'an ni mshirika na muombezi wa yeyote mwenye kushikamana nayo Siku ya Kiyama, hummulikia njia yake hapa duniani, na humuinua katika ngazi za juu Peponi
-
Safari ya Walimu wa Sayansi ya Qur'ani hadi “Erambuyeh” Makaburini mwa “Ali bin Hamzah Kufi Kisai”
Baadhi ya walimu wa taaluma za Qur'ani kutoka Iran wamefanya ziara katika kijiji cha Erambuyeh, kilichoko katika mkoa wa Pakdasht, Tehran, wakiamini kuwa eneo hilo ni mahali alipozikwa Abu al-Hasan Ali bin Hamzah al-Kufi, maarufu kama Kisā’i—mmoja wa wasomaji mashuhuri saba wa Qur’ani (Qurrā’ Sab‘a) na mwanazuoni mkubwa wa sarufi na lugha ya Kiarabu katika karne ya pili Hijria.
-
Faida ya kuingiza furaha katika moyo wa mtu mwenye matatizo
"Huna hasara yoyote hata chembe mbele ya Mwenyezi Mungu endapo utamsapoti Mwalimu kwa kumlipia mtoto wake ada ya shule na kumuepushia tatizo la mtoto wake kufukuzwa shule kwa ajili ya ada (school fees), au ukamlipia Mwalimu kodi ya nyumba"
-
Hujjat-ul-Islam Aali: Msaada kwa wengine unarudishwa (unafidiwa) mara nyingi zaidi na Mwenyezi Mungu
Mwalimu wa chuo kikuu na shule ya kidini alieleza kuwa kusaidia na kutatua matatizo ya wengine ni chanzo cha kupata malipo mengi kutoka kwa Mwenyezi Mungu. Alisisitiza kwamba sehemu ya kila mtu katika neema ya Mwenyezi Mungu inategemea uwezo wake wa kupokea, na ili kufaidika zaidi, ni lazima kuongeza uwezo huu.
-
Ufafanuzi kwa ufupi kuhusiana na hatua za mashindano ya Qur'an Tukufu na Hadithi - Jamiat Al-Mustafa (s), Dar-es-Salam - Tanzania, 2025
Tangazo la Matokeo ya mwisho litatolewa kuanzia Tarehe 01 - 05 - 2025 mpaka tarehe 05 - 05 - 2025. Na ratiba ya hafla ya fainali ya mashindano haya pamoja na ugawaji wa zawadi kwa washindi na washiriki utakuwa tarehe 17 - 05 - 2025 katika Ukumbi wa Mikutano ya Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere - Jijini Dar-es-Salam - Tanzania.