Utulivu
-
Hali ya Wasichana katika Uislamu: Upendo, Heshima na Haki
Wasichana katika Uislamu: Hadithi ya Upendo, Heshima na Thamani za Kimungu
Hali ya Wasichana (Mabinti) katika Uislamu inategemea usawa katika uumbaji na heshima ya kibinadamu, ambapo Mwanamke na Mwanaume wameumbwa kutoka nafsi moja. Wanawake wana usawa na wanaume katika kupata elimu, uhuru wa kifedha, na zawadi ya akhera kulingana na matendo mema. Uislamu unathamini sana nafasi ya wasichana katika familia na jamii, hasa katika uba mama na kulea amani na utulivu, na kuziweka nafasi hizi kuwa juu na za heshima.
-
Pezeshkian: Iran daima imesimama imara mbele ya Dhoruba za Historia / Watenda jinai ambao mwenendo wao ni kuua watoto, hawastahili kuitwa Binadamu
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, amesema kuwa Iran, hii ndiyo ustaarabu wa kale zaidi unaoendelea duniani, na daima imesimama imara mbele ya dhoruba za historia. Taifa hili, kwa roho kuu na azma isiyokoma, mara nyingi limethibitisha kwamba haliinamii mbele ya wavamizi; na leo pia limesimama kwa heshima mbele ya wanyakuzi, likitegemea nguvu ya imani na mshikamano wa kitaifa
-
Waziri wa Ulinzi kwa Mwenzake wa Russia: Uamuzi wa Iran ni Kuadhibu Mchokozi kwa Nguvu Zote
"Kilicho hakika ni kwamba hatupigani na Israel pekee, bali tunapigana na Amerika na baadhi ya nchi pia (vibaraka) zinazoiunga mkono Israel."