Wanahabari
-
"Watoto Wasio na Mpangilio Waliopangwa": Uzinduzi wa Kitabu Kipya Kuhusu Kikosi cha Vita vya Asili cha Shahidi Chamran
Kitabu "Watoto Wasio na Mpangilio Waliopangwa" kinahusu uanzishwaji wa Kikosi cha Vita vya Asili wakati wa mwanzo wa vita vya kulazimishwa vya Iraq dhidi ya Iran. Kinaelezea nafasi ya Ayatollah Khamenei na Shahidi Chamran katika kuunda kikosi hiki cha wapiganaji wa kujitolea kabla ya mfumo rasmi wa kijeshi kuimarishwa, hadi wakati wa kuuawa kwa Shahidi Chamran na kuunganishwa kwa kikosi hiki na vyombo rasmi vya ulinzi.
-
Dkt. Larijani: Sayyid Hassan Nasrallah alikuwa hazina kubwa kwa ulimwengu wa Kiislamu
Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, katika ziara yake kwenye eneo la Dahieh Kusini mwa Beirut na kutembelea kaburi la Shahidi Sayyid Hassan Nasrallah, alimueleza kuwa ni hazina kubwa kwa ulimwengu wa Kiislamu na kusisitiza juu ya kuendeleza njia ya muqawama (upinzani wa haki).
-
Ripoti ya Kina ya Mkutano wa 3 wa Kimataifa wa Wanahabari wa AhlulBayt(as)kwa Ushiriki wa Wanahabari kutoka zaidi ya nchi 20 za Afrika +Picha na Video
Sambamba na Siku Kumi za Karama (The Ten Days of Karama), Mkutano wa Tatu wa Kimataifa wa 'Waandishi wa Habari wa Ahlul-Bayt (a.s)' umefanyika leo Alhamisi asubuhi, tarehe 1 Mei, 2025), katika ukumbi wa mikutano wa Jumuiya ya Kimataifa ya Ahlul-Bayt (a.s) Mjini Qom, kwa Ushiriki wa Wanaharakati wa Habari na Wasomi kutoka Iran na Bara la Afrika.
-
"Mkutano wa Tatu wa Kimataifa wa Waandishi wa Habari wa Ahlul Bayt (a.s) umeanza kwa kushirikisha Wanahabari kutoka Bara la Afrika."
Mkutano wa Tatu wa Kimataifa wa Waandishi wa Habari wa Ahlul Bayt (a.s) waanza kwa ushiriki wa wanahabari na wasomi kutoka Iran na Bara la Afrika Mjini Qom