al-Jolani
-
Mtazamo wa Mapambano ya Sheikh Ghazal Dhidi ya Serikali ya Kigaidi ya Al-Jolani: Kuanzia Kukabidhi Silaha hadi Mwito wa Mgomo wa Kitaifa
Baada ya mabadiliko ya hivi karibuni nchini Syria, Sheikh Ghazal Ghazal, Rais wa Baraza Kuu la Kiislamu la Waalawi, amekuwa akitoa misimamo mbalimbali akidai kulindwa kwa haki za Mashia wa Syria. Katika siku za hivi karibuni, ametoa mwito wa mgomo wa kitaifa wa amani kama sehemu ya kupinga mauaji na dhulma zinazotekelezwa na serikali ya mpito ya Al-Jolani.
-
Daesh wabeba jukumu la shambulio dhidi ya doria ya wanamgambo wa Jolani
Daesh wametekeleza tukio la kushambulia doria inayohusiana na idara ya forodha ya Serikali ya Jolani na kuua watu wawili.
-
Watafiti: Sera za Jolani zimeiingiza Syria katika lindi la machafuko
Wataalamu wameonya kwamba kuendelea kwa vurugu na sera za kueneza mgawanyiko kunaisukuma Syria kuelekea migogoro iliyo kubwa na ya kina zaidi.
-
Hatari ya kusambaratika Kwa Mfumo wa Afya wa Syria Chini ya Utawala wa al-Jolani
Mamilioni ya raia wa Syria wanateseka chini ya utawala wa al-Jolani kutokana na ukosefu wa dawa na huduma za msingi za afya.
-
Abu Muhammad al-Jolani Kuhutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Huku Akiwa Chini ya Vikwazo
Ahmad al-Sharaa, maarufu kama Abu Muhammad al-Jolani, Rais wa Serikali ya Muda ya Syria, anatarajiwa kushiriki na kutoa hotuba katika kikao cha 80 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa mjini New York katika wiki chache zijazo.