Shirika la habari la Ahlul Bayti (AS) limeripoti kuwa, Ayatullah Riza Ramazani, mkuu wa baraza la dunia la Ahlul Bayti (AS) katika ziara yake nchini Kenya alitembelea shule za kidini za "Muntazar" na "Ahlal Kisa" katika kitongoji cha Rirota cha Nairobi, mji mkuu wa nchi.