-
SwahiliQatar: Kutumia chakula kama silaha ya vita ni kukiuka sheria za kimataifa
Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Qatar imetoa taarifa na kutangaza kuwa, inapinga vikali suala la raia kufa njaa na kutumiwa chakula kama silaha ya vita katika Ukanda wa Gaza.
-
SwahiliHamas: Hatua ya Pili ya Usitishaji Mapigano Gaza ni njia pekee ya kuachiliwa mateka wa Israel
Afisa mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, ameulaumu utawala haramu wa Israel kwa kutaka kurejesha uvamizi wake dhidi ya Gaza na kukwepa makubaliano ya usitishaji mapigano, akisisitiza…
-
SwahiliSera za kinafiki za Marekani kuhusu matumizi ya nishati ya nyuklia
Katika taarifa yake mpya kuhusu matumizi ya nishati ya nyuklia, Waziri wa Nishati wa serikali ya Marekani, Chris Wright, amesema kutokana na Marekani kuwa kinara katika masuala ya akili mnemba (artificial intelligence)…
-
SwahiliUchunguzi wa maoni: Chuki dhidi ya Uzayuni zimeongezeka Marekani
Uchunguzi mpya wa maoni unaonyesha kuwa, hisia za chuki dhidi ya uuzayuni zimeongeza pakubwa nchini Marekani.
-
SwahiliTrump arefusha muda wa vikwazo dhidi ya Russia
Rais wa Marekani Donald Trump ameongeza kwa mwaka mmoja mwingine muda wa amri ya utekelezaji vikwazo dhidi ya Russia.
-
SwahiliAfrika Kusini, Malaysia na Colombia zapinga meli zenye silaha katika bandari zao kwa ajili ya Israel
Viongozi wa Afrika Kusini, Malaysia na Colombia wametangaza katika jarida moja katika makala yao ya pamoja kwamba watazizuia meli zilizobeba silaha katika bandari za nchi hizo kwa ajili ya Israel.
-
SwahiliGuterres: Mwezi Mtukufu wa Ramadhani utumike kuleta amani
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametaka mwezi mtukufu wa Ramadhani utumiwe kwa ajili ya kuleta na kudumisha amani katika pembe mbalimbali za dunia hasa maeneo yanayokabiliwa na vurugu na machafuko.
-
SwahiliWatu 5 wauawa katika mlipuko wa msikitini kaskazini magharibi mwa Pakistan
Watu 5 wameuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa katika mlipuko uliotokea katika Msikiti wa Chuo Kikuu cha Haqqaniyya kaskazini magharibi mwa Pakistan.
-
SwahiliIsrael yakiri rasmi kushindwa katika oparesheni ya Kimbunga cha al Aqsa
Jeshi la utawala wa Kizayuni limekiri kuwa, katika mashambulizi ya Oktoba 7 mwaka 2023 lilishindwa kuwahami walowezi wa utawala huo wanaoishi katika maeneo jirani na Gaza; na kwamba lilifeli katika masaa ya awali…
-
SwahiliIran na Malaysia zasisitiza kuimarisha zaidi ushirikiano
Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Malaysia wamesisitiza azma ya nchi zao ya kuimarisha Zaidi uhusiano na ushirikiano katika mbalimbali.
-
SwahiliIRGC yapokea manowari ya kisasa iliyoundwa na wataalamu wa Iran
Kikosi cha Wanamaji cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) kimepokea zana na vifaa mbalimbali vya kijeshi vilivyoundwa na kutengenezwa hapa nchini Iran, ikiwemo meli ya kivita ya Shahidi Rais Ali Delvari…
-
SwahiliAyatullah Seddiqi: Chuki dhidi ya Marekani na utawala wa Kizayuni imeenea duniani kote
Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema kuwa, adui wa Israel sio kambi ya Muqawama tu na kuongeza kuwa, mauaji ya wanawake na watoto huko Gaza na makamanda wa Muqawama yamesababisha kusambaa duniani…